benson kigaila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    GE2025 Kigaila: Ukata wa fedha ni tatizo kubwa sana kwa vyama vya upinzani

    Tatizo la kifedha sio la CHAUMMA pekee yake, tatizo la fedha ni la vyama vyote vya upinzani, kwasababu havina msingi imara wa mapato. Kwahiyo kampeni za vyama vya upinzani zinategemea kwa sehemu kubwa mapato ya mgombea binafsi mfano chama kama CHAUMMA akina ruzuku kinapata , kwahiyo ni nguvu ya...
  2. Mafyangula

    GE2025 Kigaila: Naona uchaguzi 2025 ni huru kuliko chaguzi za mwaka 2020

    Kuna tofauti, uchaguzi wa 2020 ulianza changamoto kuanzia kwenye uteuzi watu walienguliwa sana bila sababu watu wengi walikataliwa kupewa hata fomu za serikali, watu wengi pia walikataliwa kurudisha fomu za serikali na waliporudisha walienguliwa bila sababu kitu hicho mwaka huu 2025 akikuwepo...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Kigaila kuhusu nani aliwagongea muhuri wabunge 19 wa CHADEMA?

    Benson Kigaila (aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA), kuwa ni nani aliyewateua wabunge 19 wa viti maalum akiwemo mke wa Kigaila na kugonga muhuri wa chama hicho bila ruhusa ya chama mwaka 2020?
  4. DuaZaMama

    GE2025 Kigaila alipoulizwa kuhusu kwanini wengi waliokimbia CHADEMA kutokuwahi kushinda uchaguzi?

    Majibu ya Naibu katibu mkuu bara wa CHAUMMA na mgombea ubunge jimbo la Kivule Benson Kigaila juu ya wengi waliohama CHADEMA kushindwa katika uchaguzi amesema watulie wasuburi matokeo ya sasa. Kigaila ameyasema hayo wakatia akifanya mahajiano na Wasafi Tv.
  5. Waufukweni

    GE2025 Kigaila: Watanzania wameichoka CCM, naziona dalili za CHAUMMA kushinda urais wa Tanzania

    Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesena anaziona dalili za CHAUMMA kushinda urais wa Tanzania kwasababu Watanzania wameichoka CCM
  6. J

    Tetesi: Benson Kigaila kurejea Chadema na ataomba msamaha kwa Umma

    Bado ni Tetesi kutokea maeneo ya Bahari Motors Kijitonyama jirani na KKKT Ngoja tuone
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Benson Kigaila: Vijana wana uwezo wa kuipelekea CCM likizo ya bila malipo

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bara, Benson Kigaila, ametoa wito kwa watanzania, hususan vijana, kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwa kupiga kura ili kuleta mabadiliko ya kweli nchini. Akizungumza Agosti 10, 2025 katika kongamano...
  8. DuaZaMama

    GE2025 Benson Kigaila: CHAUMMA ina wanachama wengi inazidiwa na CCM tu

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bara, Benson Kigaila amesema; "CHAUMMA leo ni chama chenye wanachama wengi, kinaweza kuwa kinazidiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tu ambacho kimejijenga kwa dola kwa miaka yote, lakini CHAUMMA ni chama chenye wanachama wengi, na athari...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Kigaila: Bora tufie kwenye vituo kuliko kutoshiriki uchaguzi

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Benson Kigaila ameeleza kuwa chama hicho kitashiriki Uchaguzi Mkuu 2025 katika mazingira yoyote akieleza kuwa mabadiliko yataletwa kwa 'kuingiza timu uwanjani, na si kuuepuka. Kigaila ameyasema hayo wilayani Mpanda mkoani...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Benson Kigaila: Nilizungumzia Kesi ya Mbowe kwa kuijua, ya Lissu sijui alivyokamatwa. Mimi kulaani haisaidii chochote

    Benson Kigaila, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwasasa ni Kada wa CHAUMMA ameeleza kuwa wakati "Nilizungumzia kesi ya Mbowe ya ugaidi kwa kuwa nilikuwa najua mwenendo wa kesi ulivyokuwa, hii ya Tundu Lissu sijui alivyokamatwa" Kupata matukio na...
  11. W

    PreGE2025 Kigaila: Mkutano wa CHAUMMA umechangiwa na wadau

    Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio...
  12. W

    PreGE2025 Kigaila: CHAUMMA kitakuwa chama kikubwa kuliko vyama vyote Tanzania

    Tambo za Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara CHAUMMA, Benson Kigaila, aisagia CHADEMA na kueleza kuwa chama chake itakuwa kikubwa kuliko vyama vyote Tanzania na kwamba adui mkubwa wa CHAUMMA ni CCM.
  13. Mindyou

    Benson Kigaila apewa nafasi ya Makamu Mwenyekiti CHAUMMA

    Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho. Kigaila ambaye alikuwa akiunda kundi la G55 lililoanzisha harakati na kwenda kinyume na uongozi wa sasa wa Chadema, ametangazwa leo kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Kigaila: Siwezi kuongelea kesi ambayo ipo mahakamani ila najua Lissu ana kesi ya uhaini

    Kipindi anakamatwa Mbowe nilikuwa ni kiongozi, nilikuwa na jua kazi anayofanya Mbowe, alivyokatwa, nilikuwa naenda mahakamani, na nilikuwa najuwa nini kinaendelea, nilikuwa na kaa vikao vya kamati kuu ya chama na nikajuwa kwamba hii kesi ya Mbowe ya ugaidi haina mashiko. Ila hii ya Tundu Lissu...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mjinga ndiye anayeweza kusema kwamba mimi Kigaila ndiye niliyesaini fomu ya kuwapeleka wabunge 19 Bungeni

    Mjinga ndiye anayeweza kusema kwamba mimi Kigaila ndiye niliyesaini fomu ya kuwapeleka wabunge 19 Bungeni, mimi sikuwa katibu mkuu na wakati huo nilikuwa Nje ya Nchi” Benson Kigaila Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  16. The Palm Beach

    Benson Kigaila mwana G55: Akiwa kwenye kiti moto cha Odemba wa StarTV, akijiuma uma na kujichanganya

    https://www.youtube.com/live/nvKNTGAG-9Q?si=H3CYz7QBr2c2gMz9 Sasa unaweza kuelewa ni kwanini hawa jamaa wa wanaojiita G55 ni wajinga wa kiwango cha huyu mzee Benson Kigaila.. Akataa katakata kujibu swali la mke wake kuwa miongoni mwa wale wabunge 19 na kwamba kama ni yeye ndiye aliyesaini fomu...
  17. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Huyu Benson Kigaila akikutana na Bensoni Kigaila wa leo aliyetangaza kujiondoa CHADEMA mbona itakuwa wewooo

    Nimekutana na clip ya Benson Kigaila wa enzi hizo akisema kuwa ikifika 2024 na 2025 hakuna Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi basi hakutakuwa na uchaguzi, halafu kuna huyu anayesema kuwa kutoshiriki uchaguzi ni kutaka CCM ipite bila kupingwa, wakikutana watazichapa sana. Hitimisho: Njaa...
  18. M

    Benson Kigaila mmoja wa waanzilishi wa No Reforms no Election leo anawatetea G55

    Nimeshangazwa na Benson Kigaila. aliyekuwa miongoni mwa viongozi waandamizi wa CHADEMA katika uongozi uliopita. Yeye ni miongoni mwa waanzilishi wa dhana nzima ya no reforms no election lakini leo anaikana, na kuwatetea wale "waasi" 55 ambao hawataki maamuzi hayo ya chama. Ifahamike kuwa kabla...
  19. I

    KUMBUKIZI: Kigaila akitoa tafsiri ya 'No Reforms, No Election' enzi za Mbowe

    Hii ndiyo tafsiri ya No Reforms No Election iliyowekwa enzi za Mbowe Sasa ninyi G55 chini ya uongozi wa Mrema tafsiri yenu mmepata wapi? Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  20. Tlaatlaah

    Benson Kigaila ndie kiongozi pekee wa kizalendo CHADEMA atakayeidhibiti na kuinusuru CHADEMA

    Amefanya kazi nzuri sana pale BAZECHA na anaendelea kufanya kazi nzuri zaidi pale BAVICHA. Ni matumaini ya kila mwanachadema mzalendo kwamba, the field marshal matonya engr. Benson Kigaila hatakosea BAWACHA na kamati kuu kama kawaida yake, and the mission will be successful completed. kibaraka...
Back
Top Bottom