benson bana

Namila Benson is an Australian radio broadcaster, podcaster, and television presenter, known for her work for the Australian Broadcasting Corporation, on Radio National and ABC Television. From 2021 to 2023, she hosted a weekly arts show on ABC TV called Art Works, and is the host and co-creator of the ABC TV show The Art Of... that began airing in June 2024.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Kauli za Benson Bana, Serikali na Wengineo kwamba "Sisi ni Taifa Uhuru" hivyo sio Haki kuingiliwa au kupata Shinikizo la nje, Lina akisi ukweli

    Kumekuwepo na kauli mbali mbali za watetezi wa Uamuzi wa baàdhi yetu kutetea Sirikali iliyopi na uhalali wao, wa kufanya uchunguzi na mengineyo ili waendele kuwa madarakani na kuficha ukweli kwa kuegemea kwenye Katiba na Uhuru wa nchi kwenye kujitawala. Lakini hapo hapo wanashindwa kukumbuka...
  2. E

    Kura ya Maoni Uchaguzi 2025, Iko wapi REDET ya Dr. Benson Bana? na wengine!!

    Nimejiuliza ni kwa nini REDET - A University of Dar es Salaam centre for Research and Education for Democracy in Tanzania, haifanyi utafiti (survey on opinion polls) kama ilivyofanya mwaka 2020 Tanzania ilipokaribia uchaguzi mkuu. This time, nafikiri REDET wanapaswa kufanya utafiti wa kisayansi...
  3. SSH2025_2030

    Prof. Balozi Benson Bana (PhD) anafaa kwenye Chama Cha Mapinduzi

    Mheshimiwa Profesa Mbobezi wa Sayansi ya Siasa Duniani na Balozi (Mstaafu) Benson Bana (PhD) anafaa kwa Nafasi za juu katika Chama. Tafadhali, Mkutano Mkuu mfikirieni ikiwapendeza, mpeni kazi akasaidiane na Mzee wetu Stephen Masatu Wassira a.k.a Tyson wakaimarishe chama nchi nzima.
Back
Top Bottom