Habari mjasiriamali,
Jana nilipost kuhusu beneficial ownership, nikasema kila mmiliki wa Kampuni ni lazima awasilishe taarifa za wanufaika wa Kampuni (Beneficial owners) ndani ya siku 30 baada ya kukamilisha usajili wa Kampuni.
Moja ya swali nililoulizwa ni
"Kwani nisipo file hio beneficial...