ben saanane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Tusiwe wepesi wa kusahau, utekaji aliuanzisha Magufuli kwa kumteka Ben SaaNane. He is the one to blame na Mungu amhukumu kwa hilo

    Aliyàhalalisha na yakashika mizizi mpaka leo. Kwangu mimi hilo linatosha kumtupa kapuni! Kwanini? It is because it involves merciless killing of human life .na mengine yaliyofuata!
  2. Kama Humphrey Polepole atabahatika kukutana na Ben Saanane na Mdude Nyagali naomba awambie yafuatayo

    Kama Humphrey Hezron Polepole atafanikiwa kuonana akina Ben Saanane na Mdude Nyagali naomba awambie yafuatayo; Mosi, kabla hujafa hujaumbika. Pili, mambo yanabadilika. Tatu, aliyeko juu mngoje chini au mpandie. Nne, aishie kwa upanga, atakufa kwa upanga. Tano, atekaji unaendelea. Sita...
  3. Polepole akiwataja kwa majina wanaoteka watu na mahali waliko akina Ben Saanane nchi itapona

    Haitoshi tu kuelezea mambo ya kisiasa ama Kura zinavyoibiwa, tunataka pia kujua uhai wa watanzania wenzetu waliopotezwa na wanaoendelea kupotea ninani anawateka na wanawekwa ama wako wapi na kama wanauliwa wanazikwa wapi ? Pole pole ukieleza ukweli huu nchi itapona
  4. R

    Pole sana Mpoto kwa kufiwa na mke wako, umezimia, Pole tena. Sasa fikiria akina Ben saanane et al wapendwa wao wanakuwa na hali gani! Pole

    Nakupa pole. Jikaze kama wengine wanavyojikaza. FIKIRIA MKE WA MDUDE AKIONA DAMU YA MUMEWE NA KUSHUHUDIA "AKIUAWA"
  5. JamiiForum pitieni kitabu cha Erick kabendera mje na majibu kuhusu ID ya ben saanane

    Hakuna binadamu anaye chukua masaa,siku,mwezi na miaka bado tukaweza kusema majibu rahisi. Na hii imeshakuwa desturi ambayo majibu mepesi utolewa wakati wapendwa wao mpaka leo wajawahi kupata hatma yao. Kuna kawaida hapa JF ikitokea mtu kafariki au kupandisha hadhi inajulika. Swali la kwanza...
  6. A

    Tetesi: BBC wapo njiani kuja na mazito kuhusu kitabu cha Kabendera na kifo cha Ben Saanane

    Habari wakuu!? Kwa wale wanaowafahamu wazungu hasa shirika la BBC, hawa jamaa huwa wakipata taarifa ndogo huwa wanakaaa ofisini kwa wiki kadhaa au hata mwezi ama miezi kufanya uchunguzi kisha baada ya hapo wanaanza kufumua mengi zaidi ambayo yamejificha. Kule Kenya wao ndio walichimba zaidi...
  7. Mnaomtetea Magufuli mitandaoni wengi wenu hamumjui vizuri, mnamfahamu juu juu tu

    Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo Rais Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6. Ila ile comedy...
  8. Kabendera amechukua "risk" iliyopitiliza. Atawaambia nini watu endapo Ben Saanane au Azory Gwanda watarejea uraiani?

    Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani. Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo...
  9. Serikali iruhusu uchunguzi huru uanze upya kuhusu kupotea kwa Ben Saanane na shambilio la risasi dhidi ya Tundu Lissu

    Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana . Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane . Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu. Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi...
  10. Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

    Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji. Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua...
  11. S

    Ushauri: BBC, CNN, VOA au Aljazeera, mumuhoji Erick Kabendera juu ya madai yake kuwa Magufuli alimpiga risasi Ben Saanane

    Huu ndio ushauri wangu kwani naamini kupitia mahojiano ya aina hiyo, Kabendera ataweza kufunguka zaidi na maelezo yake yatasaidia watu kupata picha halisi juu ya tuhuma hizi. Sitegemei ataweka hadharani kila kitu kwasababu inaweza kusababisha ushahidi ukaharibika /kuharibiwa hasa ikiwa...
  12. S

    Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

    Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam. Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa...
  13. TBT: Tundu Lissu aelezea Meseji za Ben Saanane za vitisho

  14. E

    Eric Kabendera acha kudanganya umma, ukweli wa kifo cha Ben Saanane uko kwenye huu uzi

    Magufuli hawezi kuwa sio smart kiasi ulicho andika ni low IQ people ndio wataamini hiki ulichoandika
  15. Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

    Nanukuu...... Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
  16. Hivi Deusdedith Soka ndio amezimwa kama alivyozimwa Ben Saanane?

    Deusdedith Soka amepotea kimzaha mzaha. Miaka ya nyuma alitoweka Ben Saanane kama utani mpaka leo hatujawahi kumuona tena. Je ndio washamalizana na Soka? Pia soma Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja
  17. Ben saanane alihoji uhalali wa PhD ya magufuri, akapotezwa mazima

    Ilikuwa ni kitu cha ajabu sana, Mimi mbona juzi wamenihoji kuhusu cheti changu cha kuzaliwa kuwa tofauti Na vyeti vyenye taaluma zangu , yaani kuongezeka jina moja tu kwenye vyeti vya taaluma ikawa nongwa...
  18. M

    Ben Saanane aliniunganisha na wauza kemikali za migodini kutoka India, nikawa napeleka Msumbiji migodini. Leo simpati

    Leo siasa pembeni Leo nimeingia kwenye majonzi binafsi Ben rafiki yangu wa miaka mingi aliniunganisha na wazalishaji wa kemikali nchini India maana alifahamiana nao akiwa kule. Leo supplier wangu ananiuliza hivi fulani yuko wapi (Ben Saanane)? Nimekosa jibu la kumpatia huyo muhindi. Hapa...
  19. Kisa cha familia ya Karl Bulla na Viktor Bulla wa Urusi inafanana na tukio la kutoweka kwa Ben Saanane?

    Miaka mia iliyopita kuna mpiga picha maarufu kule urusi aliitwa Karl Bulla alizaa mtoto naye akarithi fani ya baba yake ya photo journalism akiitwa Viktor Bula. Sasa huyu Viktor Bulla maudhui ya picha zake yakawa hayapendwi na serikali ya urusi ya wakati huo. Alishtakiwa kwa kuwa mpelelezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…