bazecha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    GE2025 BAZECHA walalamika kupata huduma duni kwenye huduma za afya na mafao ya uzeeni zinazosababishwa na demokrasia duni na uchaguzi usio wa haki

    Katika maadhimisho ya siku ya wazee duniani yanayofanyika leo oktoba 1, 2025, baraza la Wazee Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAZECHA) kanda zote limefanya majadiliano kwa njia ya mtandao kuhusu hali ya wazee katika ushirikishwaji wa mambo ya kisiasa na huduma za kijamii. Katika majadiliano...
  2. W

    PreGE2025 Susan Lyimo: Kususia uchaguzi ni kama kumuachia ngedere shamba la mahindi, sisi tutazuia hatususii

    Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Susan Lymo asisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni kuzuia uchaguzi sio kususia aomba wananchi waunge mkono.
  3. Kipenzi Changu

    PreGE2025 BAZECHA: Tuliwaita kujieleza badala yake wakakimbia

    Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAZECHA) limeeleza kuwa liliwaita viongozi na wananchama wote ambao walikua na manung’uniko katika chama kuja kujieleza ili kutafuta suluhu na badala yake hawakutokea na kuanza kujiengua “Mwenyekiti mstaafu alishawai kusema kwama kiundwe...
  4. Cute Wife

    PreGE2025 Mwenyekiti BAZECHA: Bahari inatema uchafu acha bahari iwe safi. Chama kiko imara kuliko wakati wowote ule

    Mwenyekiti BAZECHA - James Haule alipoulizwa kuhusu busara itumike kuponya majeraha CHADEMA, Haule wamesema; BAZECHA ndio wenye wajibu wa kuponya majeraha chamani, nataka niwathibitishie tulishakaa na Mbowe, Lissu pamoja na Mnyika, kwakuwa watu walidhani wamekanyagana tulitoa nafasi ya watu...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Mwenyekiti BAZECHA: Rais Samia aeleze kwanini Watanzania wananyanyasika katika ardhi yao, aeleze hatua alizochukua kulinda haki

    BAZECHA Pwani wanaongea na Waandishi wa Habari https://www.youtube.com/live/C8UctgnFAbg?si=i1BRJLq9o2CFiX0x Mwenyekiti BAZECHA - James Haule Ni kwa mara ya kwanza Kanda ya Pwani kuongea na waandishi wa Habari, tumekuwa tukifatilia kwa ukaribu mazingira halisi yaliyopelekea cnhi yetu kufikia...
  6. Mindyou

    PreGE2025 Tundu Lissu: Uchaguzi wetu ulikuwa mkali sana. Nimewapa BAZECHA jukumu la kusaidia kuponya majeraha ya Uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ameeleza kutambua maumivu ya walioshindwa uchaguzi ndani ya chama hicho na kutaja mikakati ya kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi huo. Akizungumza na waandishi wa Nipashe waliofika nyumbani kwake Jumapili iliyopita...
  7. chiembe

    Hata Lissu akishinda, BAWACHA na BAZECHA, na wajumbe wengine wa kamati kuu wasitoe ushirikiano wowote kwa Lissu

    Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu. Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Mgombea Uenyekiti BAZECHA aahidi kuwapeleka wajumbe Makka

    Wakuu Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema (Bazecha), John Mwambigija maarufu ‘Mzee wa upako’ akiomba kura kwa wajumbe huku miongoni mwa sera yake ni kuwapeleka wajumbe wa baraza hilo kuhiji Makka. Uchaguzi huo unaendelea usiku huu Jumanne Januari 14, 2025 katika ukumbi wa...
  9. Erythrocyte

    Kamati Kuu ya Chadema yakutana Makao Makuu ya Chama Mikocheni, D'Salaam leo 10/1/2025

    Taarifa kutoka kwenye Chama hicho inaeleza kwamba, Ajenda kuu ya kikao hicho ni Usaili wa Wagombea wa Mabaraza ya Chama hicho, BAZECHA, BAVICHA na BAWACHA Usiondoke JF ili ufahamu Wagombea watakaopenya kwenye Mchujo huo kabambe mithili ya Kupita kwenye Tundu la Sindano
  10. Chachu Ombara

    M/Kiti wa BAZECHA Taifa, Hashim Juma Issa aomba radhi watanzania kwa kauli zake za udini

    Mzee Hashim Juma Issa, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Taifa aomba radhi watanzania kwa kauli yake. Pia soma Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani? Wazanzibari bado wanataka OIC, Watanganyika tubariki tuyaone maendeleo Hashim Issa: Rais Samia na...
  11. Mshana Jr

    CHADEMA yajitenga na kauli za BAZECHA kuhusu hoja za udini

    Tunajitenga na kauli zote zilizotolewa zenye viashiria vya udini kwani huo sio msimamo wa Chama na zinapaswa kupingwa na kila mtanzania bila kujali dini, kabila au mahali alipotoka.
  12. Mindyou

    Baraza La Wazee CHADEMA(BAZECHA) wakerwa na tabia ya vijana kukaa kwenye Mwendokasi wakati wazee wamesimama. Watoa pendekezo!

    Baraza la wasanii CHADEMA maarufu kama BAVICHA leo katika mkutano wao wa kuadhimisha siku ya wazee duniani wameoneshwa jinsi wanavyokereka na tabia wanazoonesha vijana kwenye mwendokasi. Soma pia: BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana Wakati...
Back
Top Bottom