bawacha taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    PreGE2025 Picha: Katibu Mwenezi CCM, Amos Makalla amtembelea hospitali Mwenezi wa BAWACHA aliyedaiwa kushambuliwa na mlinzi wa Heche

    Ndugu zangu Watanzania, Muwe Mnaelewa tunaposema ya kuwa CCM ndio chama chenye uchungu na Maisha ya kila mtanzania, ndio chama chenye kujali watu pasipo ubaguzi ,ndio chama chenye huruma ,upendo , unyenyekevu na ukarimu wa hali ya juu sana,ndio chama chenye kujua kila mtu anathamani na mwenye...
  2. mshale21

    Huyu sigila Mligo si afukuzwe tu uanachama ? Au wadau mnasemaje?

    Bila kupepesa macho huyu ni kirusi ndani ya CHADEMA kinachofanya jitahada za kukikwamisha chama kwa external force kutoka upande wakijani. Kwa nini CHADEMA wanamlealea au wanaogopa nini?
  3. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi lasema linamsaka "anayedaiwa kuwa Mlinzi wa CHADEMA" kwa kumshambulia Mwenezi wa BAWACHA Taifa

    Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA...
  4. PendoLyimo

    PreGE2025 Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

    Katika kile kinachoonekana kama mgawanyiko unaokua ndani ya CHADEMA, taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Siglad, alipigwa na walinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche. Tukio hilo lilitokea usiku wa jana mkoani Njombe, katika...
  5. McLaren

    Katibu BAWACHA Taifa: Tunategemea wanawake wasiopungua 3,000 wahudhurie maadhimisho yetu ya siku ya wanawake. Maandalizi yanaendelea

    Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA limewataka wanawake kujitokeza kwa wingi kushiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 8, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa BAWACHA...
  6. Just Pray

    Tundu Lissu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi, BAWACHA wakiadhimisha siku ya wanawake Machi 08

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema BAWACHA, Sharifa Suleiman, amesema kuwa tarehe 8 Machi baraza hilo linatarajia kudhimisha siku ya wanawake Dar es Salaam. Hayo ameyasema leo tarehe 23 Februari 2024, wakati anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.ambapo amesema kuwa...
Back
Top Bottom