John Pambalu ameandika:
Wamemuua Mwenyekiti wetu wa Bavicha jimbo la Nyamagana Mwanza Kamanda Michael Christian Mutabuzi.
Naambiwa alikamatwa na vijana waliompeleka jengo la CCM lililo karibu na Cetral Police mnamo tarehe 29.10.2025, siku moja baadaye tarehe 30.10.2025 mwili wake uliokotwa...
Wakuu,
Polisi wameanza uchunguzi wa tukio la Padre Kitima kushambuliwa lakini mpaka leo hakuna majibu ya uchunguzi wa tukio la kuuliwa kwa Ali Kibao, utekaji wa Soka na wenzake, Abdul Nondo, Chaula aliyechora picha ya Rais Samia na kuichoma, kiongozi wa BAVICHA Mwanza, Mkrugenzi wa Dar 24...
Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Mwanza imekanusha tuhuma za kuhusika katika kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo ambaye inadaiwa alichukuliwa na watu waliojitambulisha ni maofisa wa polisi.
Manengelo anadaiwa kutoweka Februari 14, 2025...
Jeshi la Polisi Tanzania limeeleza kuwa linafanyia uchunguzi madai ya kutekwa kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo (30).
Inadaiwa kuwa Manengelo alichukuliwa na watu wanne kutoka nyumbani kwa rafiki yake, Jovin Thomas (32), ambaye pia ni Mwenyekiti...
Wakuu
CHADEMA inaonekana kama wako serious sana na huu Uchaguzi
Msikilize hapa Mwenyekiti wa BAWACHA Mwanza Hosiana Kusiga:
Safu ya uongozi kwa Chama chetu imeshakamilika na tuna uhakika kama uchaguzi mkuu utafanyika kwa uhuru na haki basi CHADEMA tunachukua nchi na ndio maana tunasema (No...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.