basila mwanukuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Basila Mwanukuzi mratibu wa Shindano la Miss Tanzania alalamika ukosefu wa Chanjo za watoto Hospitalini

    Muandaaji wa shindano la Miss Tanzania aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1998 amelalamikia Wizara ya Afya kukosa weledi kwa kutopeleka chanjo mahospitalini huku ikisemekana ni kutokana na Kampeni zinazoendelea ambapo bajeti kubwa imeelekezwa huko. Basila Mwanukuzi mwaka 2021-2023 alihudumu kama...
  2. SSH2025_2030

    Basila Mwanukuzi anafaa kuwa Waziri Mambo ya Nje

    1. Mwanasiasa Mkongwe nchini. Anafaa kuteketeza Sera mpya ya Mambo ya Nje iliyozinduliwa hivi karibuni. 2. Haya yatawezekana tu akimng'oa Archbishop Dr Rashid Josephat Gwajima (PhD) Jimbo la Kawe.
  3. SSH2025_2030

    Tetesi: Wananchi wamchangia pesa Basila Mwanukuzi kugombea Jimbo la Kawe

    Wananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao
  4. saidoo25

    Kilichomponza Basila Mwanukuzi kupoteza nafasi ya U-DC Korogwe hiki hapa

    Kilichomponza Basila Mwanukuzi kupoteza nafasi ya U-DC Korogwe hiki hapa
Back
Top Bottom