Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, kupitia kwa Naibu Msajili wa Ofisi hiyo Sisty Nyahoza imetoa ufafanuzi kuhusiana na madai ya kwamba barua iliyoandikwa 'kutoka kwao' kwenda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mei 26 mwaka huu inakiuka amri/ zuio la Mahakama lililotolewa hivi...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ndani ya siku 13 kueleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishiwa usajili au kutozwa faini kwa madai ya kukiuka masharti ya Sheria ya Vyama vya Siasa.
Alipotafutwa Msajili wa Vyama...
Chama cha Denokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres, kikieleza wasiwasi wake juu ya iwapo mwakilishi waliyekutana naye, Parfait Onanga-Anyanga, alitumwa rasmi na ofisi yake kufuatilia matukio ya kabla na baada ya Oktoba 29, 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.