baraza la wawakilishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Vurugu na vitisho vya Haji Omar Kheri, anayetuhumiwa kwa ukatili, katika Baraza la Wawakilishi

    ..Haji Omar Kheri anatishia mawaziri. ..Haji Omar Kheri hamheshimu Spika wa Baraza la Wawakilishi. ..Huyu ndiye Mshauri wa Mama Abduli.
  2. Waufukweni

    GE2025 Wawakilishi 14 wa ACT-Wazalendo wagoma kuhudhuria Uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi wadai Uchaguzi ulijaa dhulma na uhuni

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sisi Wawakilishi 14 kutoka Chama cha ACT Wazalendo - 10 wa Majimbo na wanne wa viti maalumu vya wanawake - tulilitafakari tukio la uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi na kumpima mtu atakayelihutubia Baraza na majibu yetu yakawa, kwa dhulma iliyopita na uhuni...
  3. Tlaatlaah

    GE2025 Mkeka: Uteuzi wa wanachama wa CCM watakaogombea nafasi za Ubunge na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa Majimbo na Viti Maalum

    Chama cha mapinduzi CCM kinatarajia kutangaza wagombea ubunge wake waliopitishwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na hatimae kuthibitishwa na halimashauri kuu ya ccm taifa kugombea ubunge majimboni. mbivu mbichi kujulikana soon. TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM...
  4. McLaren

    GE2025 Rais Samia aongoza kikao cha uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Baraza la Wawakilishi

    Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wabunge wa Viti Maalum, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi...
  5. Roving Journalist

    GE2025 Sababu za Rais Mwinyi kusogeza kulivunja Baraza la Wawakilishi hadi Agosti 13, 2025

    Kumekuwa na hisia tofauti kufuatia Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuahirisha kulivunja Baraza la Wawakilishi jana Juni 23, 2025 na kusogeza hadi Agosti 13, 2025 akisema ni kutokana na matayarisho ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Baadhi ya wachambuzi wameihusisha hatua hiyo na...
Back
Top Bottom