Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ameahidi kuendelea kuufungua Mkoa wa Kilimanjaro kwa miundombinu ya barabara za lami, zege na changarawe ili kusisimua uchumi wa mkoa huo na kukuza biashara ya kimataifa kati ya Kanda ya...