barabara ya mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. heartbeats

    KERO Bodaboda kuvamia barabara za mwendokasi imekuwa kero, wanafanya ajali zisiishe

    Hivi mamlaka hazioni au ndo zimeshindwa kuwa-manage maana imekuwa kero kero, wanasababisha ajali tena katika zebra wameigeuza barababara ya mwendokasi kama yao special Kama Serikali inashindwa kusimamia utaratibu mdogo kama hivi wataweza kusimamia kipi sasa,? Kikawaida tokea chini katika...
  2. Jidu La Mabambasi

    Serikali yashtuka na DART: Waziri Ulega awalipua wakandarasi wa barabara ya mwendokasi

    At last serikali kupitia waziri wa Ujenzi ndg Abdalla Ulega, imesema rasmi leo kuwa hairidhishwi na spidi ya ujenzi wa barabara ya DART inayotegemewa kuwa ya mabasi ya mwendokasi. Akiongea na makndarasi, katika mkutano wa mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makadarasi CRB, waziri Ulega ameema...
  3. X

    Serikali ina mpango gani na Barabara ya Mwendokasi Kimara hadi Kibaha? ni kama imetelekezwa

    Kwanza niipe hongera serikali kwa kwa upanuzi wa barabara ya Kimara-Kibaha siku hizi ukitoka Kimara Stop Over mpaka Kibaha unateleza kusimama ni kwenye mataa tu. Ila janga ni ile barabara ya katikati ambayo ilikusudiwa iwe ya mwendokasi lakini mpaka sasa haitumiki ipo kama pambo. Huwa nikipita...
  4. M

    RC Chalamila kaonewa bure ruhusa ya magari binafsi kutumia barabara ya mwendokasi, Mchengerwa angepambana na Bashungwa

    Wakuu, siku ya jana Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa alimtolea povu Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam kuwa hana mamlaka ya kutoa ruhusa ya magari kutumia njia ya mwendokasi. Ilikuwa kama udhalilishaji fulani njia aliyotumia waziri huyo kufikisha ujumbe. Soma karipio la Mchegerwa Mchengerwa...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Chawa wa Rais Samia, Cassypool kutoka Kenya atembelea ujenzi wa barabara ya Mwendokasi

    Wakuu Hapa kama Nchi ndipo tumefikia yaani Chawa wa Rais Samia, Cassypool amesafiri kutoka Kenya kuja kutembelea ujenzi wa barabara ya Mwendokasi. 🤣 Nchi ina Chawa wa Kimataifa, labda kuna pesa nyingi sana inamwagwa kumsemea mhusika ndio maana Chawa wameona ni wakati wa kula na kipofu gizani...
  6. M

    Ujenzi barabara ya Mwendokasi Dar na mambo ya ajabu

    Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo. Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya plan ya zamani kabla hata ya kufanya mabadiliko makubwa ktk plan ya zamani. Leo barabara za zamani...
  7. Pendragon24

    Wenzangu mnaridhishwa na ujenzi wa barabara ya mwendokasi njia ya Posta-Mwenge-Ubungo-Tegeta?

    Mimi binafsi sioni kabisa kinachofanyika katika ujenzi wa barabara ya mwendo kasi kwa phase hii ya njia ya tegeta posta na kipande cha ubungo tofauti kabisa na ujenzi wa njia ya Morogoro road au ilee ya gongolamboto. Enzi za ujenzi wa Morogoro road kwanza utaona watu wapo busy masaa 24 kufanya...
  8. abdulatif himid

    Kilwa Road: Barabara ya mwendokasi imefungwa ilihali hakuna basi lolote linalopita, tunateseka na foleni!

    Barabara imejengwa kwa Kodi za Wananchi, mmeifunga kusudi ilihali hakuna gari yoyote ya Mwendokasi inayopita! Tunateseka na foleni huku pembeni tunaona Barabara Iko tupu. Not fair! Huku kwetu kura mnazoaga tu, kwa nini mnatunyanyasa?
Back
Top Bottom