bandari ya kwala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania John Heche: Magufuli ameondoa bandari ya Kwala imerudi mjini na kufanya Mji wote kuwa sehemu ya kuweka Makontena

    "Kuku mmoja anayetaga mayai ya dhahabu ni bandari ya Dar Es Salaam. Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha hakuna usumbufu kwenye mizigo, kwanza unawatengenezea watu barabara za uhakika kutoka Bandarini. Magufuli alianza kujenga bandari ya Nchi kavu Kwala kwamba mizigo yote itoke bandarini iende...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Bandari ya Kwala Rais anapewa Taarifa za uongo

    Mwenyekiti wa Wamiliki wa Malori nchini Tanzania TAMSTOA, Chuki Shabani amesema kwamba kuna baadhi ya watendaji wa Serikali wanamdanganya Mhe. Rais. Akijibu swali la mwandishi kuhusu ufanisi wa bandari ya Kwala kufanya kazi kama ilivyoahidiwa kuwa itakuwa ni asilimia 100% amesema siyo kweli...
  3. JamiiForums Tanzania Hoja ya Kikwete kuhusu Ridhiwani kwenye Uzinduzi wa Bandari Kwala ililenga nini, mbona haikuhusiana na kilichokuwa kinafanyika?

    Nadhani Mzee Kikwete anapaswa kubadilika na kuacha Uswahili wake, amevuruga Uzinduzi wa wenzake wa Bandari Kavu kwa kuchomekea yasiyohusika. Bila shaka Spana za Mitandaoni kote duniani kuhusu Familia yake kupitishwa bila kupingwa zimemuumiza sana, lakini ni vema angeita Waandishi wa habari...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua usafirishaji wa mizigo kwa SGR na bandari Kwala Mkoani Pwani

    https://www.youtube.com/watch?v=wwLxEK9CEnE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizindua Usafirishaji wa Mizigo kwa SGR Kwala Pwani, leo tarehe 31 Julai, 2025. https://www.youtube.com/live/hO2T3lOUjmI Update Sehemu ya Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…