Baltasar Ebang Engonga, aliyekuwa mkuu wa zamani wa kitengo cha kupambana na uhalifu wa kifedha Equatorial Guinea na mpwa wa Rais Teodoro Obiang Nguema, alijikuta katikati ya kashfa nzito mnamo mwaka 2024. Hii ni baada ya uchunguzi wa kesi ya ufisadi kufichua video za ngono zinazodaiwa...