balozi wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Mhandisi Zena Ahmed Said apangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempangia kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Moses Kusiluka, Balozi Mhandisi Zena Ahmed Said amepangiwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia.
  2. H

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
  3. H

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (kushoto), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya Dynamis Investment Partners, Bw. Bo Löfg

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (kushoto), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya Dynamis Investment Partners, Bw. Bo Löfgren, mara baada ya kikao na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha...
  4. H

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) p

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya ya SMZ, Dkt. Salim Slim (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya...
  5. H

    Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Raddy Energy

    Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (wa nne kutoka kushoto mstari wa mbele), akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Raddy Energy ya Tanzania, Ramadhani Mlanzi (kulia kwake), katika picha ya pamoja na wawakilishi wa taasisi za fedha za Serikali ya Uswidi, kampuni ya Siemens...
  6. Ojuolegbha

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mobhare Matinyi afanya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje wa sweden jijini stockholm

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Balozi Mobhare Matinyi, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden, Mhe. Maria Malmer Stenergard, katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje jijini Stockholm, leo tarehe 22 Agosti, 2025. Katika mazungumzo hayo, Mhe. Balozi Matinyi...
  7. Ojuolegbha

    Waziri Kombo afanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda

    WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania jijini...
  8. Ojuolegbha

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025 , Kombo alieleza kushangazwa na kauli za Polepole...
  9. Carlos The Jackal

    Vyombo vya Habari Kimataifa: Balozi wa Tanzania nchini Cuba kajiuzulu kuonyesha Kupingana na Uminywaji wa Haki na Demokrasia Nchini humo!

    Wakuu, Kama Kuna Jambo Polepole kalifanyia Taifa hili, na Atabakia kwenye Historia ya Watu Muhimu nchini, ni Hilo la yeye kujiuzulu. Sasa hapa ieleweke, Tatizo sio yeye kujiuzulu, NI TITLE YAKE 'BALOZI' ...yaan BALOZI alochaguliwa na Rais, kajiuzulu. Vyombo vya Habari Kimataifa, Mashirika ya...
  10. Ojuolegbha

    Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden

    Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden.
  11. Ojuolegbha

    Balozi Mobhare Matinyi awasili kwa mara ya kwanza ofisini Stockholm Sweden

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, akipokewa na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania jijini Stockholm alipoingia ofisini kwa mara ya kwanza leo Mei 5, 2025. Mbali ya Sweden, Balozi Matinyi ataiwakilisha pia Tanzania katika nchi za Sweden, Norway, Denmark, Finland, Iceland...
  12. Ojuolegbha

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi ameelezea namna anavyofanya majukumu yake

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ambaye pia anatuwakilisha katika nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine, amefanya mahojiano katika taarifa ya habari ya ZBC na mtangazaji Abubakar Harith na kueleza atakavyotekeleza majukumu yake ya...
  13. Ojuolegbha

    Wafahamu mabalozi wa zamani wa Tanzania - Rome, Italia

    Mabalozi wa Zamani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Roma, Italia: 1972 - 2024 Former Ambassadors The United Republic of Tanzania Rome Italy: 1972 - 2024
Back
Top Bottom