balozi sefue

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    Balozi Sefue: Tunashauri Serikali itoe muda wa mpito wa mwaka kutolipa kodi ya mapato ya biashara mpya

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  2. Chachu Ombara

    Balozi Sefue: Tume inapendekeza mapitio ya ushuru, tozo na ada zinazotozwa na mamlaka ili kuondoa zinazofanana na kujirudia

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  3. Chachu Ombara

    Balozi Sefue: Maafisa wa kodi wasionane uso kwa uso na mlipa kodi, ikiwa kuna umihimu yatengwe maeneo yenye uwazi na CCTV camera

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  4. L

    Rais Samia amteua Balozi Ombeni Sefue kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango

    Ndugu zangu Watanzania, Nawasogezeeeni taratiibuu habari na taarifa hii kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amemteua Mheshimiwa Balozi Ombeni Sefue kuwa mjumbe wa Tume ya Mipango. Ambapo lengo la Tume hii ni kusimamia Uchumi, Mchakato...
Back
Top Bottom