balozi polepole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Balozi Polepole alikuwa anatumia Laini ya Airtel Tanzania hadi siku anatekwa

    Balozi Polepole alikuwa anatumia Laini ya Airtel Tanzania hadi anatekwa. Je, ndio walitoa Location? Namba ya Balozi Polepole ni +255786146700 Airtel inashirikiana na Serikali katika maswala ya Hisa. Je, Polisi waliwaomba nini Airtel ili Polepole atekwe? Nnimeconnect dot baada ya kuona...
  2. Ujumbe wangu niliopewa na Mungu kuhusu balozi polepole

    Sio kawaida kwangu Jambo moja kuliota Mara nyingi kiasi hiki mara nyingi nimeota balozi polepole yupo hai kitu kilichonifanya kupandisha uzi ni kuwa sauti ya Mungu imenitumia Mimi kuwafikishia ujumbe wenye nguvu kwa sasa Mungu amenituma nifikishe ujumbe kwenu kuwa mumuachie huru balozi...
  3. Balozi Polepole & MC Pilipili wamepotezwa kama 'Kuku wa Kienyeji'

    Hawa jamaa kufumba na kufumba hatutawasikia tena maishani. Hakika hizo ndio Shoti. Jichanganye upasuliwe
  4. Hotuba ya leo sidhani kama Balozi Polepole bado mzima

    Hotuba ya leo kutoka kwa manyota, kwa namna alivyokiri kuua waandamanaji, nachelea kusema kuwa Balozi Polepole sidhani kama yuhai huko anakoshikiliwa na mamlaka. Nahisi amepitia maumivu makali sana kuelekea kwenye kifo chake. Nimeumia…
  5. Mmiliki wa Akaunti ya DAUDI T BALALI pale X ni Mwanamtandao, Alihusika Kumteka BALOZI POLEPOLE , Leo katwt Samia ANASHINDA 83%

    Wakuu, Mnakumbuka huyu Mpuuzi Daudi Balali ,alitoaga Twiti yake alisema 2030 Uchaguzi utakua usotabirika Kwa CCM. Ni hivi huyu jamaani Mwanamtandaoo, na Ndie aliyemteka Mh Polepole . Tarehe 21/8/2025 Huyu Jamaa alisimamia Mpango wa kumteka Mh BALOZI POLEPOLE, baada ya kujihakikishia kua...
  6. Tunaenda Kumaliza Mwezi bila balozi Polepole kujua Yuko Wapi? It's not Fair

    Tunaenda kumaliza mwezi bila kujua Polepole yuko wapi mazingira gani. Kibinadamu hili ni Jambo la ovyo sana kama nchi sio jambo la kujivunia. Please huyu kijana kama ana makosa ni vyema alitakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria na watu waliofanya kazi na Polepole mko kimya mnajiskiaje...
  7. Wabunge wa EU watoa tamko kutekwa kwa Polepole

    Kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kumeendelea kuzua mjadala mpana, baada ya wabunge wa Umoja wa Ulaya (EU) kulaani tukio hilo na kulitaja kuwa la kutisha linalohitaji hatua za haraka. Katika taarifa iliyotolewa jana Oktoba 10, 2025, kwa pamoja na wabunge...
  8. Akaunti za mitandao ya kijamii (FB & IG) ya Humphrey Polepole haipatikani tena

    Kwa hiyo sasa hivi jamaa atakuwa amezungukwa na watu 6 mmoja kakaa kwenye kiti kama nilivyoota jana huku yeye kapiga magoti anatoa password na email watu wanafuta tu account zake zote, halafu baaada ya hapo sijui hatua gani itafuata
  9. Polepole anazungumza usiku huu Rais Samia asigombee anatakiwa apumzike

    Ndugu Humphrey Polepole ameibuka usiku huu wa tarehe 24, agasti amefunguka wazi sababu za kwanini Rais Samia hatakiwi kugombea na kumtaka apumzike. Katika maelezo yake ameweka wazi namna ambavyo Rostam Azizi anazidi kujizolea utajiri mwingi kwa kutumia maliasili za nchi hasa migodi ambayo ya...
  10. M

    Media za Bongo mnaandikaje utetezi wa INEC na NIDA wakati hamkutuhabarisha kilichosemwa na Balozi Polepole?

    Wasaaalamu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole??? Hii imenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna...
  11. Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

    Tabia za mpambanaji manafiki daima huwa ni pamoja na kua mwoga, mfitini, muongo na mzandiki. Na mara zote nia yake hua ni uchochezi na dhamira yake ovu hua ni migawanyiko. Ni jambo la maana sana waTanzania wamempuuza katika umoja wao na wamebaki wamoja. Maoni, mtazamo na mawazo yake kwa jamii...
  12. GE2025 Polepole : Tundu Lissu anastahili kuwa nyumbani kwa mkewe na familia yake bila masharti yoyote

    Wakuu Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametoa kauli nzito akihimiza mabadiliko ya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwepo kwa mchakato wa wazi wa kupata wagombea, na kuhimiza mazingira ya haki kwa vyama vya upinzani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025...
  13. GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

    Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao. Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa...
  14. G

    Samia akishinda Urais mwaka huu, Polepole, Gwajima na Mpina wataishije maisha yao hapa Tanzania?

    Habari zenu wanajamii forum popote pale mlipo ulimwenguni Jana nilijikuta nawaza juu ya hawa wana ccm waliothubutu kusema mambo yasiyowapendeza uongozi wa juu wa ccm hususani mwenyekiti wake raisi Samia Ikitokea Samia akashika madaraka ya nchi tena, je nini kitafuata kwao hawa wana ccm...
  15. GE2025 Polepole: CCM inaenda siko! Inashangaza RC anambagaza Mbunge halafu anapelekwa kwenye nafasi ya Mbunge huyo kugombea Ubunge

    Aliyewahi kuwa Balozi wa Malawi na Cuba, Humphrey Polepole amesema Msingi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama cha kikomunisti kama cha China au Cuba akisema chama hicho kinatanguliza nidhamu ya hali ya juu. Kinatazama watu bora kwa uaminifu, unyeyekevu na uadilifu. Amesema holela ya sasa...
  16. GE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Polepole amegeuka mpinzani ndani ya chama, sasa ni muda muafaka wa kumpokonya kadi ya chama na kumvua uanachama

    Friends and Our Enemies, Chama Cha Mapinduzi,kwa moyo mmoja kimeamua kumteua Samia Suluhu Hassan kama Mgombea wa chama na Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza. Wawili hao,wamepata ithibati na baraka ya chama kupeperusha bendera kuelekea uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu. Kama tujuavyo,kuna baadhi...
  17. GE2025 Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!

    Wanabodi, Mimi miongoni mwa wale watembezi ambao hutembea na Joni Mtembezi, ila hutembea nae siku za Ijumaa jioni na Jumamosi siku nzima!, siku za Jumapili ni mwendo wa ule muujiza wa Masiha, kwenye ile harusi ya Kana!. Kwa Mkirsto Mkatoliki die had, nyumbani kwake, zaidi ya kuwa kitabu cha...
  18. Hongereni sana viongozi wetu wa chama na serikali kwa kutoijibu haraka barua ya ndugu Polepole. Hii ni adhabu kubwa na ya kisayansi kwa Polepole

    Napenda kutoa Pongezi kubwa kwa viongozi wetu wa chama na serikali kwa kufanya kazi kwa hekima na busara huku mkitanguliza uzalendo kwa Taifa letu mbele. Narudia tena, ninaiona busara na hekima kubwa ya uongozi huu wa awamu ya sita chini ya Dr. Samia Suluhu Hassan, viongozi wetu mnafanya...
  19. Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
  20. Kwa hili tu Balozi Polepole nakuunga mkono 100%, na hata Mimi nililieleza hapa JF kwa Utaratibu wake ila Wanafiki, Chawa hawakunielewa

    GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nitamlaumu Balozi Polepole kwa mengineyo ila kwa hili la kusema kuwa hii siyo Awamu ya Sita kama ambavyo WANAFIKI, CHAWA na WAPUMBAVU wanavyosema na kulazimisha naungana nae kwa 100% zote. Mwaka 2021 hapa hapa JamiiForums nilikuja na Uzi (upo hapa utafuteni) kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…