Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, kwenye Kamati ya Bunge, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni jijini Dodoma.
Serikali imependekeza kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 57.04 kwa...