bajaji na bodaboda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bikira latifah

    Kumekucha Mbagala: Kampuni ya MOFAT imetuma ombi LATRA kuziondoa Daladala

    Kumbuka kwa sasa wanachaji nauli sh 1000 kituo hadi kituo, hiyo haitoshi kwa sasa wametuma ombi kwa LATRA kuwa wanafanya kazi kwa hasara hivyo wameomba kuzifungia daladala na bajaji zote njia ya Mbagala Kariakoo wabaki wenyewe Je, wataweza? -- Wakati Kampuni ya Mofat inayotoa huduma ya usafiri...
  2. The Magnifico

    PostGE2025 Polisi: OCD Chunya hana mamlaka kuzuia bajaji na bodaboda kununua petroli zaidi ya lita 2, tunafuatilia ikijulikana ni kweli atachukuliwa hatua

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi limeona na linafanya uchunguzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao va kijamii ikionyesha imetolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kwa waandishi wa habari kama ushauri kwa wamiliki wa vituo vya mafuta wilayani humo. Uchunguzi huo unafanyika...
  3. M

    KERO Kero ya bajaji na bodaboda jijini Dar

    Hasa maeneo ya Kisutu na kariakoo bajaji na bodaboda wamekuwa kero sana hawafauti foleni wala alama za barabarani na huko wakisababisha foleni zisizo na sababu tunaomba hatua dhidhi zichukuliwe ku punguza hii kero. Hatuna na shida na biashara yao lakini ni lazima wapewe elimu ya kuendesha kwa...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Bodaboda, Bajaji na Wajasiriamali Dar wagomea maandamano CHADEMA

    Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa...
  5. K

    Mnaowapa vijana Bajaji na Bodaboda za mkataba kuweni na Utu!

    Habari Wana JF,humu ndimo tunapita habari mbalimbali,mawazo mapya,Burudani faraja na Elimu kwa ujumla wake. Katika maisha kila mtu ana njia zake za kupata fedha,hapa nazungumzia fedha halali. Nilimdhamini kijana mmoja pikipiki kwa mtafutaji mmoja kwa mkataba, kijana kapambana, pamoja na...
  6. Jidu La Mabambasi

    Wiki ya Usalama Barabarani: Polisi na Serikali mmeshindwa vibaya kudhibiti bajajI na bodaboda?

    Polisi wanatamba kuwa kutotii sheria utakamatwa na utachukuliwa hatua za kisheria. Kuna kundi kubwa la watumiaji wa barabara wanamiliki bajaj na bodaboda nchini, kundi hili liko juu ya sheria. HAKUNA wanaolidhibiti kundi hili, si polisi au chombo chochote cha dola. Na kundi hili kwa kiasi...
Back
Top Bottom