bahati nasibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kushinda michezo ya bahati nasibu ya Mitandao ya simu

    Niaje ni vipi! Kuna hii Michezo ya mitandao mfano voda wao wana Tusua spoti na Tusua mapene, kuna watu huwa wanashinda na wengine hawashindi. Hebu tupeane mbinu za kuongeza chances za kushinda. wataalam wa mambo tusaidiane. Chief-Mkwawa
  2. JamiiForums Tanzania Mitandao ya Simu acheni kutulia hela zetu, hivi kweli mtu anaweza kushinda bahati nasibu kwa kujibu haya maswali?

    Eti wanakuuliza Ruby ni a)Mwanamuziki b) Mkulima Huu ni utapeli wa kula vocha za watu.
  3. JamiiForums Tanzania Unamfahamu yeyote aliyewahi kushinda michezo ya bahati nasibu?

    Wakuu... Karibu kila siku nasikia kila week kuna watu wanashinda million 10 mpaka 50 lakini binafsi sijawahi kuona ndugu, jamaa, rafiki au mtu yoyote wa karibu ninayemjua kashinda hata laki moja. Binafsi sijui hawa wanaoshinda hii michezo ni watu wa wapi mliowahi kushinda au kushuhudia mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…