bagonza

William Bagonza (12 November 1960 – 9 December 2000) was a Ugandan boxer. He competed in the men's light flyweight event at the 1984 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Askofu Bagonza: Tuhuma za Ugaidi ni silaha ya mtawala dhidi ya mtawaliwa

    Askofu Benson Lwakalinda Bagonza (PhD) Ameandika KABLA YA KATIBA MPYA... 1. Kabla ya Katiba Mpya ya Afrika ya Kusini, Nelson Mandela aliitwa gaidi. 2. Kabla ya "Katiba Mpya" iliyoandikiwa Lancaster, Julius Nyerere alikuwa ni Mchochezi aliyekuwa nje ya gereza kwa kulipa faini. 3. Kabla ya...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Itungwe sheria maalum kujinaisha (Criminalize) vitendo vya kusifia viongozi wa Umma!

    INAFIKIRISHA! INASUTA! TUSUTIKE Nilipochaguliwa kuwa Askofu baada ya wanaofaa kukosekana, marafiki zangu waliandaa tafrija ya kuniaga huko Chicago, Marekani. Mmoja wa watani wangu akatoa hotuba na kusema "Benson, wewe sasa ni Askofu. Tangu sasa una uhakika wa mambo matatu: 1. Daima utakula...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kwa Hali ilivyo sasa Katiba na Rais wapo vitani

    "Hoja ya katiba mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya ukuu wa katiba na ukuu wa Rais. Kwa hali ilivyo, Rais na katiba wako vitani" Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe.
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ukuu wa Katiba VS Ukuu wa Rais

    TULIENI MIOYONI: Ukuu wa Katiba Vs Ukuu wa Rais. Hoja ya Katiba Mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya Ukuu wa Katiba na Ukuu wa Rais. Kwa hali ilivyo, Rais na Katiba wako vitani. Nawasihi wanaojadili, watulize mioyo yao. Wasikilize...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Kuweka nchi sawa ni kazi isiyoisha

    Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe "Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi" "Haki na uhuru ni misingi imara ya kuweka nchi sawa. Ukiyaahirisha unajitwisha mzigo mzito. Dai la katiba mpya lina faida kubwa kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Haki na Uhuru vimeumana

    HAKI na UHURU VIMEUMANA! Maneno "haki" na "uhuru" yameanza kusikika kwa kasi toka midomoni mwa watawala na Viongozi wetu. NAWAPONGEZA. Hakuna aliyepiga marufuku matumizi ya maneno haya lakini si kila marufuku inatolewa hadharani. Taifa lilishtuka pale tulipoona haya: 1. Watawala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…