baba mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    Baba Mdogo wenzie wote wamefariki, badala ya kutusimamia vizuri yeye anatuuza

    Baba yetu alishatangulia mbele za haki. Baba wadogo walishafariki pia. Amebaki mama na baba mdogo. Sasa baba mdogo badala ya kuwa mshauri mkuu kuhakikisha familia inabaki salama yeye anamsaidia mama kutuuza. Baadhi ya kina kaka wamechachamaa lakini baba mdogo kaziba masikio. Ndugu kina mzee...
  2. MKATA KIU

    Baba mdogo alipoteza ajira yake, akapata kesi, kafungwa jela kwa kukosa faini milioni 40 tu, huku ana watoto wakubwa aliowasomesha India na UK

    Habari wadau. NIna baba yangu mdogo alikuwa bosi kwenye wizara moja serikalini. Alikuwa na cheo cha kamishna kwenye taasisi moja inayosimamiwa na wizara yake. Mwaka 2021 Bahati mbaya baba mdogo alipata matatizo kazini. Matatizo hayo yalimfanya apoteze ajira yake na kupata kesi mahakamani...
Back
Top Bottom