Habari za kazi wakuu,
Makampuni mengi sasa hivi yanategemea vifaa vya kidijitali kama simu (smartphones) na tablets kuendesha shughuli zao za kila siku—iwe ni timu za mauzo (sales team), madereva, au wasimamizi wa miradi. Lakini je, una mpango gani kifaa kikiharibika, kikiibiwa, au kikipata...