Kumekua na wimbi la wadanganyika wakiamini kuwa AZUMA ( Azithromycin ) ni dawa za kutibu UTI .
Hii kitu imesambaa sana kiasi cha wimbi kubwa la watu wakizibugia kama pipi , huku wakiamini watapona UTI.
Sijui maamlaka zipo wapi , au labda na mimi ni mlevi na mjinga tu , sijui kama...