azam sports

Azam Football Club is a Tanzanian professional football club based in Chamazi, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania, that competes in the Tanzanian Premier League. Nicknamed Wana Lambalamba, Chamazi Millionaires or the Bakers, the club was founded as Mzizima Football Club in 2004, changed its name to Azam Sports Club in 2005, then Azam Football Club in 2006 and moved to its current stadium, Azam Complex Chamazi, in 2010.
Azam FC have won 10 trophies; one Premier League, a record 5 Mapinduzi Cups, two Kagame Cups, one Tanzania FA Cup and one Community Shield.
In the 2013/14 season, Azam FC won the league unbeaten, and by so doing, the club became only the second (after Simba SC 2009/10) to win the league without losing a single game.
Azam FC were undefeated in the league (26 matches) in a run that stretched to a 38 games, from the 18th round of 2012/13 season to the 4th round of 2014/15. In 2015, the club became the first in the history of Tanzanian clubs to win the Kagame Cup without conceding a goal.
Azam FC is one of the most widely supported football clubs in Tanzania, and has rivalries with Yanga SC, Simba SC, Mtibwa Sugar FC and African Lyon.

View More On Wikipedia.org
  1. MrKanteChelsea

    Azam sports wabaguzi

    Si shabiki wa ligi hii ya hapa nchini ila naishi na watazamaji wa hiyo ligi. Kila ikifika mechi za timu ndogo hakuna watangazaji ila Simba ama Yanga wakiwepo hapo wapo sasa kuna maana ipi ya kurusha hizo mechi kama hamuwezi kuweka watangazaji. Au ndio soka letu kivyetu vyetu maana hata...
  2. figganigga

    Azam Sports Wamefuta Picha zote za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu

    Azam Sports Wamefuata Picha za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu. Mara ya kwanza walipost hii, kabla ya kufuta picha zote zinazomuonesha Tundu Lissu Katika Mchezo wa ngumi uliokiwa Ukirushwa Azam TV, Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo, alivaa t-shirt yenye picha ya Mwenyekiti...
  3. M

    Ndugu yangu Bakhressa fedha unazomwaga kwa ajili ya Azam Sports Club Peleka msikitini na kwa maskini, utanishukuru

    Unawalipa mishahara mizuri, wanalala pazuri, wana uwanja wa maana, hakuna njaa, wanakula vzr, facilities zote azam wanazo kwanini wakuumize moyo wako. Huoni unamkosea sana mungu kwa kuwaacha maskini na malofa wanaomba omba pale kariakoo, yatima wanateseka, vijana wenye kiu ya elimu wanakosa ada...
  4. uhurumoja

    Kwa maoni yangu bei ya kifurushi cha Azam upande wa Michezo sio kibaya

    Mnyonge mnyongeni ila Azam kwa hii bei na mifumo ya kikodi ya nchi yetu, gharama za uendeshaji hasa ukizingatia dollar ilivyo juu mimi naona malipo ya 910 per day sio mbaya. Kwa wale wenye mabanda watapiga hela zaidi. Ifahamike kuwa la Liga msimu huu ni Kali zaidi, Bundesliga huwa ni Kali kama...
Back
Top Bottom