Trump: Nilimuokoa Khamenei kutokana na kifo kibaya sana
Katika chapisho kwenye Ukweli wa Kijamii, Rais Trump alimkosoa Kiongozi Mkuu wa Iran kwa kudai ushindi dhidi ya Israeli, akisema aliokoa maisha ya Khamenei na kusitisha shambulio kubwa la Israeli huko Tehran. Trump pia anafichua kuwa...
Huyu mzee amesababisha Iran imerudishwa nyuma miaka mingi sana kwa muda mfupi....na bado kichapo kinaendelea.
Iranian officials are considering removing Ayatollah Ali Khamenei as the Supreme Leader of Iran after the country endured airstrikes by Israel and the United States, two sources...
Katika mfumo wa kisiasa wa Iran, kuna mgawanyo wa mamlaka kati ya Ayatollah (au Kiongozi Mkuu wa Kidini) na Rais, lakini mamlaka ya Ayatollah ni makubwa zaidi na yanashika nafasi ya juu kabisa katika uongozi wa nchi. Hapa ni maelezo ya mamlaka ya kila mmoja:
---
Ayatollah (Kiongozi Mkuu wa...
Baada ya Israel kumuua Kiongozi wa kisiasa wa HAMAS Ismail Haniyeh, inasemekana bado Israel inamuwinda Kiongozi wa kidini wa Iran Ayatollah Kamenei.
Kiongozi huyo wa kishia anadaiwa kutoa kauli nzito za kuiangamiza Israel baada ya Taifa hilo la mashariki ya kati kumuua Kiongozi wa Hamas Ismail...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.