avn

The AVN Awards are film awards sponsored and presented by the American adult video industry trade magazine AVN (Adult Video News) to recognize achievement in various aspects of the creation and marketing of American pornographic films. They are often called the "Oscars of porn".The awards are divided into over 100 categories, some of which are analogous to industry awards offered in other film and video genres and others that are specific to pornographic/erotic film and video.AVN sponsored the first AVN Awards ceremony in February 1984. The award ceremony occurs in early January during the AVN Adult Entertainment Expo in Las Vegas, Nevada. Since 2008, the ceremony has aired in a form edited for time on Showtime, which is usually broadcast in a 90-minute time slot.Awards for gay adult video were a part of the AVN Awards from the 1987 ceremony through the 1998 ceremony. The increasing number of categories made the show unwieldy. For the 1999 ceremony AVN Magazine began hosting the GayVN Awards, an annual adult movie award event for gay adult video.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Avn number

    Msaada juu ya application zozote za Avn number, Vyuo, pamoja na Leseni za Clinical officers Contacts 0622569980
  2. O

    JamiiForums Tanzania Avn number

    Kwa ambae amekwama kupata Avn number , kwa ajili ya application nixext kwa 0622569980 Nikuelekeze free
  3. O

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Award Verification Number (AVN)

    Kwa Yoyote aliekwama kupata Award Verification Number (AVN) number ✅ Anitext kwa 0622569980 Ni Bure na Kuelekeza tuu siiitaji hata mia mbovu . PIA wengine tunajua mambo ya application za Vyuo Tuwasaidie WENZETU
  4. O

    JamiiForums Tanzania KARIBU NIKUELEKEZE Avn Number

    Kwa anaehitaji Avn number karibu nikuelekeze 0622569980
  5. O

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya AVN number

    Naitwa Mr Avn number solutions kwa Tatizo lolote La Avn number unalokutana nalo kama vile kusahau password wakati WA maombi karibu the Mt online stationary Tukuhudumie 0622569980 ✅ Tunafanya maombi ya Avn number ✅ Application za Vyuo ✅ Application za leseni kwa Kozi ya Clinical medicine ✅...
  6. O

    JamiiForums Tanzania AVN NUMBER

    Naitwa Mr Avn number solutions kwa Tatizo lolote La Avn number unalokutana nao lol wakati WA maombi karibu the Mt online stationary Tukuhudumie 0622569980 ✅ Tunafanya maombi ya Avn number ✅ Application za Vyuo ✅ Application za leseni kwa Kozi ya Clinical medicine ✅ Application za Maombi ya Mkopo...
  7. O

    JamiiForums Tanzania MSAADA JUU YA KUAPLY LESENI YA CLINIC MEDICINE PAMOJA NA AVN Number

    👉Habari tunafanya application za Maombi ya leseni za Afya Clinical medicine Hprs, Pamoja na Avn number, 👉Pia Application za Vyuo 👉 Application za Maombi ya Mkopo WA elimu ya juu 👉 Application za vyeti vya kuzaliwa Rita pamoja na UHakiki WA vyeti Contacts 0622569980
  8. JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata AVN ,nataka kukushtaki chuo

    Habari za muda jukwaa la sheriff,nimemaliza chuo tangu 2020 lakini mpaka leo sina AVN ili niweze kujiunga na masomo ya chuo kikuuu. Sasa basi baada ya kuona napigwa danadana kwa kutopeleka matokeao yangu Nacte,sasa nafikiria kwenda mahakamani. Naombea ushauri wanasheria kwenye hili.
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Desemba 2024 Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) hatujapewa Vyeti wala AVN Number

    Chuo cha Taasisi ya elimu ya watu wazima (IAE) kimekuwa na changamoto ya kuto kutoa AVN Number kwa wahitimu wake toka Mwaka wa masomo 2023/2024 na hakuna majibu mazuri yanayotelewa wakiulizwa.
  10. J

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo kwenye mfumo wa NACTVET kuomba AVN

    "Habari, Kuna changamoto kwenye mfumo wa wa Nactvet kwa watu wanaaomba AVN. Waombaji wanakutana na errors nyingi. Namba zote za simu zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano na ofisi ya NACTVET hazipokelewi ukipigiga, na nyingi kati ya hizo hazipatikani, nyingine hazipo kabisa. Madirisha ya maombi...
  11. JamiiForums Tanzania NACTVET: Baraza limeongeza kasi ya kushughulikia maombi yote ya AVN Number kwa dharura

    Mara baada ya Mwananchi kuwasilisha malalamiko kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu changamoto ya kukosekana kwa Namba ya Utambuzi wa Tuzo (AVN) kwa Watu waliohitimu ngazi ya Diploma na hivyo kukwama kufanya maombi ya kujiunga na vyuo mbalimbali...
  12. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded NACTVET watusaidie tupate AVN number kwa uharaka tunashindwa kuomba Chuo

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) ninaomba wajitathmini wanachotufanyia sio sawa. Habari naomba niwasilishe changamoto mbili zinazonikabili mpaka muda huu na nimeshindwa kupata msaada wowote kutoka kwa watu wa nactevet nje kuonjesha juhudi za Hali na mali...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimemaliza Diploma kwenye Taasisi ya watu wazima(IAE) mwaka jana, lakini hadi leo AVN hajitoka na hakuna maelezo

    Habari, Mimi ni Muhitimu WA chuo Taasisi ya watu wazima IAE kampasi ya mwanza nimemaliza Mwaka Jana 2024 lakini toka tumalize Hadi Leo hatujapa AVN na tukihoji wanatoa majibu ambayo hayaeleweka. Mara Subirini tunashughulikia hakuna majibu yoyote na Watu tunahitaji kwenda kuendelea na elimu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Avn number solution,kufanya maombi ya leseni na transcript

    Huduma tunaziotoa ni zifuatazo 1)Kutengenezea mtu AVN NUMBER kama amesahau password 2)Kufanya application ya leseni kwa wale clinical officers 3)Kufanya application za transcript kwa wale clinical officers 4)Kusolve tatizo la no username na password known nacte Usisite kupiga 0759-124378
  15. JamiiForums Tanzania AVN ISSUES

    Wale wenye matatizo ya AVN,kama akaunt inasumbua au password umesahau,usisite kupiga 0759-124378
  16. JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la kupata AVN ni sugu, wahitimu wa iae june 2024 hadi sasa hatuna AVN

    Kuna tatizo sugu kwenye vyuo vya kati hususani chuo nilichosoma mimi cha Institute of Adult Education (IAE). Tangu june 2024 mwaka jana tumehitimu hadi leo hatuna AVN tukifuatilia tunaambiwa jibu lile lile tangu mwaka jana "TUNAFANYIA KAZU" Hili ni tatizo la uzembe wa watumishi kwenye hivi vyuo...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wahitimu wa Institute of Adult Education (IAE) 2024 tumeshindwa kuendelea na masomo kisa kutokupata AVN tangu mwaka jana

    Kuna tatizo sugu katika vyuo vya kati hususani chuo nilichosoma mimi Institute of Adult Education (IAE) wahitimu wa june 2024 hatujapata AVN mpaka sasa. Mwaka jana tumeshindwa kujiendeleza kimasomo kwasababu ya kukosa AVN na mwaka huu tunaelekea kukosa tena, kila ukiwasiliana nao unaambiwa...
  18. JamiiForums Tanzania AVN number kutoka Nactvet

    Habari nduguzangu, Mimi ni muhitimu wa diploma, nahitaji kuendelea na masomo ya degree, ila nina changamoto moja, ni kwamba kwenye account yangu ya kuomba AVN number nimesahau password na nikitaka ku reset inasema niweke number ya simu ya zamani ambayo kwa sasa siitumii, yaani sina kabisa hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Award verification number na computer programming classes

    AWARD VERIFICATION NUMBER(AVN)ni namba inayomsaidia mhitimu wa Diploma kuitumia na kuweza kuendelea na masomo ya Degree.Ili kuipata matokeo ya mhitimu yanatakiwa yaweyametumwa na chuo husika anachosoma na baadae anaweza kuiomba,kwa matatizo na changamoto za AVN number piga 0759-124378
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo kikuu cha St John's Dodoma hakijapeleka matokeo yetu NACTIVET na kutukosesha fursa ya kuendelea na masomo ya juu

    Nimemaliza chuo kikuu cha st John's Dodoma (st.John’s university of Tanzania ) intake ya 2014/2017 fani ya maabara kwa ngazi ya stashahada(diploma in Medical laboratory ). Licha ya kuwa nimepata vyeti vyote na kubahatika kusajiliwa na bodi zote zinazohusika na afya na pia hadi sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…