NACTVET (NACTE) huwa wanatoa Award Verification Number (AVN) kwa watu waliomaliza Diploma au Advanced Diploma. Namba hiyo hutumika kwenye admission mbalimbali, ikiwemo za vyuo vikuu kwa wanaotaka kujiendeleza, pamoja na kwenye mabaraza ya kitaaluma.
Sasa shida iko hapa: unapewa AVN kwa kulipia...