Wakuu,
Kuna habari gani kuhusu huyo Mafwele, naona mapichapicha tu huko mtandaoni! Kweli jamaa aliingia kwenye kumi na nane za Kanali?
Baada ya kaka wa Augustino Polepole kuongea mchana wa leo, amerusha tena video nyingine akisema amepata habari wanataka kumhamisha Polepole kutoka hapo...
Jamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno.
Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna lolote alilolifanya.
Je yeye ndiye amefanyiziwa? Huu ukimya unaleta mashaka.
Watanzania tunaishi kwa mazoea sana, hata tarehe 29 wengi wenu mlitoa maneno ya kejeli mkisema ni mikwara tu, Je kilitokea nini?? Augstino Polepole amewapa masaa 24 ndugu yake awe amepatikana, kinyume na hapo ni kisasi.
Augustino Polepole hajasema kisasi kitatekelezwa lini.
Kisasi hakina...
Jamaa sina imani naye , nashawishika kumuona kama attention seeker .
Na asipofanya kweli, hakuna Mtanzania yeyote atamsikiliza teeena.
Maneno mengi utendaji sifuri.
Nikijaribu kuunga dots tangu aliposema anajua Polepole alipo kwa sababu ana microchip mwilini mwake ila cha ajabu kadri siku...
Nimesikiliza kwa umakini na wivu mkubwa ujumbe wa mwisho toka kwa afande kanali , ndugu Augustino polepole.
Huyu ni mtu ambae ni wazi Hana Tena cha kupoteza. Nafikiri ni ndugu ambae aliapa kulinda familia ya baba yake kwa gharama ya damu yake. Mtu huyu pia ni askari jeshi ambae masilahi yake...
Jamaa ni Mfano halisi wa ndugu wa damu .Ukiwa na kaka au dada kama huyu unapaswa kutembea kifua mbele, hakika una malaika wako duniani..Sisi wengine tulishawahi kuingia kwenye misala mizito afu mabraza wakachimba kama filbert bayi.
Kaka yake Humphrey Polepole, anayejitambulisha kama Kanali Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi
Baada ya kimya kirefu kidogo, kaka wa balozi Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole atokea na kuzungumza na umma wa watanzania
yasikilize aliyosema leo ikiwa ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya balozi humphrey polepole
Habari njema: Tanzania mpya imeshakuja na hakuna wa kuizuia kwa namna...
Kaka yake Humphery Polepole Agustino amendelea kuzungumza tangu kutekwa kwa mdogo wake ambapo hadi sasa zimepita siku 14.
Miongoni mwa yale aliyoyasema ni kuhusu Ridhiwani Kikwete kudai kwamba anafahamu alipo Polepole Agustino akaendelea kusema ushahidi wote upo na kauli hiyo aliitoa Mbeya...
Baada ya saa chache kulikosoa jeshi la Polisi Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji wameenda kwa mama yake.
Pia Soma: Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake Balozi Humphrey Polepole
Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo.
Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.