Nimejaribu kuutafakari, kuifuatilia na kuusikiliza WIMBO huu mpya wa Harmonize Ila kusema ukweli hamna kitu hapa tumepigwa.
Dogo aendelee kujifunza mbinu kutoka kwa Mwalimu wake mkuu Diamond Platnumz.
Pia, kijana anapapala sana maana kakurupuka na mixing Ni mbovu sana yaani makelele tu.
WAAH...