Shirikisho la riadha Tanzania -RT kesho linatarajia kufanya uchaguzi wao mkuu wa viongozi mbalimbali, ikiwemo rais na makamu wake; nafasi ya uwakilishi wanawake na nafasi ya ujumbe kwenye kamati ya utendaji.
Nafasi ya katibu hakuna kwenya uchaguzi huu , bali itakuwa ni ya kuajiriwa; watu...
Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, ameshinda leo mbio za kilomita 42 za Chongqing International Marathon, kwa muda wa saa mbili na dakika ishirini na moja na sekunde ishirini na sita (2:21:26) tarehe 24/03/2024 huko nchini China.
Tukumbuke; Jackline...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.