athari za vita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi kuhusu athari za vita inayoendelea baina ya Marekani, Israel dhidi ya Iran na hali ya mafuta nchini

    Vita baina ya Marekani, Israel dhidi ya Irani ilianza tarehe 28 Februari, 2026. Vita hiyo imeongezeka wigo kutokana na mashambulizi ya Irani kwa nchi za Saudi Arabia, Bahrain na Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) ambazo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani. UTARATIBU WA UAGIZAJI WA MAFUTA...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Poland Tanzania waonesha athari za Vita ya Urusi na Ukraine kupitia filamu, yamtaka Rais Putin kusitisha vita

    Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne. Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...
  3. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Nijifiche wapi wakati wa vita mimi na familia yangu?

    Kutokana na hali inavyoendelea Duniani ipo siku hayawi hayawi yatakua. Nimeangalia movie nyingi za world war II pia mauji ya Rwanda. Ukweli familia nyingi hazikujiandaa walidhani ni uzushi haliwezi kutokea. Wale ambao waliamini lingeweza kutokea wengi watusi walikimbia nchi yao na kwenda nchi...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Urusi kazima ihisi athari za vita- Zelensky

    Siku tatu baada ya shambulio la kuvuka mpaka la Ukraine katika eneo la Kursk nchini Urusi, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Moscow lazima "ihisi" matokeo ya uvamizi wake Ukraine. "Urusi ilileta vita katika ardhi yetu na inapaswa kuhisi kile ilichokifanya", Bw Zelensky alisema katika...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wanadai kabla ya Israel kuangusha jengo huwa anatoa taarifa ni kweli?

    Tuache ushabiki binadamu tunagombania kitu gani. Sawa tulijua hamas waliua watu 1500 ila kisasi kimezidi sana ebu wazia uko mtaani kwenu nyumba ya jirani ghorofa inadondoka vumbi lake kubwa sana hatari Balaa.. Binadamu kweli unasapoti hili Balaa.. Wanadai kabla ya Israel kuangusha jengo huwa...
Back
Top Bottom