askofu wolfgang pisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    PostGE2025 TEC: Maandamano si uhalifu yanatambulika kikatiba, inasikitisha waandamanaji wote waliwekwa kwenye kundi la wahalifu kupewa adhabu ya kifo

    Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025 TEC wameeleza kuwa maandamano si uhalifu. Yanatambuliwa na Katiba...
  2. GE2025 Askofu Wolfgang Pisa anamaanisha nini anaposema kabla ya kwenda kupiga kura 'tathmini dhamiri yako'?

    "Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile...
  3. Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa: Ukiona jirani yako hayuko salama nawe pia hauko salama

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa, OFM Cap ametoa habari njema kwa Waamini wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania na wote wenye mapenzi mema kuwa afya ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC), Padri Charles Kitima imeimarika na sasa ameanza...
  4. Askofu Wolfgang Pisa: Padri Charles Kitima atarejea katika majukumu yake hivi karibuni

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema hali ya kiafya Padri Charles Kitima, katibu mkuu wa Baraza hilo, inaendelea vyema na atarejea katika majukumu yake hivi karibuni. Padri Kitima alishambuliwa Aprili 30, 2025 na kitu butu kichwani alipokuwa kwenye...
  5. N

    Rais wa TEC, Askofu Pisa apingana na polisi, asema taarifa yao kuwa Padri Kitima alikuwa anapata kinywaji wakati anashambuliwa ni Upotoshaji

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema Padri Charles Kitima ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kujeruhiwa kidevuni. Hata hivyo, amesema taarifa zinazoeleza kabla ya kushambuliwa alikuwa akipata kinywaji ni upotoshaji, badala yake...
  6. PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi. Rais wa TEC na Askofu...
  7. PreGE2025 TEC: Watu wasipochagua kwa Uhuru Demokrasia itakufa, wananchi wasiporwe nguvu yao ya kupiga kura na kuchagua

    Wakuu, Hivi ndio inavyotakiwa, sio viongozi wa dini wanageuka kuwa machawa na kuimba nyimbo za mitano tena wakati wanaona mambo hayaendi sawa. ==== "Madkteta wengi Duniani na hata hapa Afrika hawataruhusu uchaguzi ufanyike, kwani wataogopa uchaguzi ukifanyika hawatachaguliwa. Na kama...
  8. LGE2024 Askofu Pisa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa kama 'Mchezo Mchafu'

    Maaskfu kutoka Madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini wamekutana leo, Jumatano Desemba 18.2024 katika ukumbi wa Kurasini Conference and Training Center uliopo makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), jijini Dar es Salaam Maaskofu hao pamoja na wadau wengine wa...
  9. TEC: Mhashamu Baba Askofu Wolfgang Pisa, Rais Mpya TEC. Rais Samia atuma salamu za pongezi

    Askofu Wolfgang Pisa Rais Samia kupitia mitandao yake ya kijamii ameandika haya kumpongeza Mhashamu Askofu Wolfgang Pisa Pongezi za dhati kwa Mhashamu Askofu Wolfgang Pisa, Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Kuchaguliwa kwako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…