askofu mwamalanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PreGE2025 Askofu Mwamalanga akerwa na kauli ya Amos Makalla kuhusu Chadema, akemea pia siasa za aina hiyo

    Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati maalum ya Maaskofu na Masheikh ya Haki, Amani na Maadili Tanzania ameoneshwa kukerwa na kauli iliyotolewa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Amos Makalla Hivi karibuni akiwa mkoani Simiyu ambapo alidai kuwa Chama cha...
  2. Waufukweni

    Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya"

    Askofu William Mwamalanga, Mwenyekiti wa Kamati ya Maaskofu na Mashekhe ya Maadili ya Dini Tanzania, amewataka viongozi wa dini waliopokea fedha kutoka kwa Rais kuzirejesha, akiwataka kuiga mfano wa viongozi wa kidini wa Kenya waliochukua hatua kama hiyo kwa maslahi ya maadili na uwazi. PIA...
Back
Top Bottom