Mimi ni mzanzibar na mtanzania kadhaalika.... Leo nimeona tena maovu makubwa sana kwa eneo la Malindi zanzibar... Askari wamekua Hawna ubinaadamu wala imani ktk kazi zao..
Askari amenikamata kwasbb anasem nimpta wrong site wakati huo huo mimi naenda kumchukua mgeni wangu kwenye meli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.