asili ya tanzania

The Hip-Hop Asili Festival (HAF) is an annual celebration of Hip-Hop music and culture in Tanzania. It is produced by local artists and supported by French Embassy in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Raia wa OMAN wenye asili ya Tanzania wamzawadia Rais Samia Gari lililotembea nchi zaidi ya tisa

    Katika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.
  2. Tanzania haisongi mbele sababu marais wetu wanne kati ya sita hawana asili ya Tanzania

    Ukiondoa marais wawili tu,sitawataja majina Wanne waliobaki hawana asili ya Tanzania. Ndio maana hawana uchungu na nchi yetu
  3. Mwana FA: Tuisafishe Singeli iwe utambulisho wa Taifa. Wasanii wapate miongozo, sio lawama

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) muziki wa singeli unashika na unakubalika maeneo mengi hadi nje ya nchi lakini pia ni muziki ambao asili yake ni Tanzania hivyo ametaka Watanzania kuwaunga mkono Wasanii wa singeli, kuusafisha muziki huo, kuwaelekeza...
  4. Watu maarufu duniani wenye asili ya Tanzania

    Nasikia director mpya wa FBI ana asili ya Tanzania. Ndugu yetu kabisa🙂. Ni watu gani wengine maarufu wana asili ya Tanzania. 1. Freddie Mercury. Alikuwa muimbaji wa bendi ya muziki ya Queen. Ukitaja waimbaji kumi wa muda wote duniani huwezi kumkosa. Alizaliwa Zanzibar mwaka 1946. Alikuwa upinde...
  5. M

    Unajua asili ya neno Tanzania linatokana na asili ya Kiarabau?

    Unajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam? Tan - Tanganyika Zan- Zanzibar TANZANI jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA? CC Sheikh Mohd Said na wasomi wenzangu tulisoma seminary za wakatoliki
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…