asharose migiro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    Dkt. AshaRose Migiro kutoka Naibu Katibu UN hadi kuwa katibu wa CCM ya wauaji; anaishije na aibu hii?

    Kwa mtazamo wangu. Huyu binti anachoangalia ni pesa anayopata bila kujali njia anayotumia kuzipata. Asha Rose Migiro miongoni mwa waanzilishi wa Tanzania Gender Network Program (TGNP) akaja baadaye kupata teuzi enzi za Kikwete na hata kufikia kupata nafasi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa...
  2. T

    Asharose Migiro katibu Mkuu CCM anaanza kazi lini?

    Kwa anasubiria uapisho? Toka ameteuliwa ni kama alilazimishwa kuwekwa hapo. Aanze kufanya kazi. Tunamsubiria huku mashinani.
  3. Abraham Lincolnn

    PreGE2025 Dr. Asharose Migiro, Mary Nagu walifaa kugombea Urais kupitia CCM

    Ninashangaa sana wanaomkazania na kumpa chepuo mgombea urais wa chama cha mapinduzi mpaka inafika wakati unajaribu kuhoji uwezo wa akili zao.Leo hii Tanzania imefikia hatua CCM hata wakimsimamisha mgombea mwenye changamoto ya akili, kisha mgombea mwenye akili, uwezo na stahiki zote za kuwa rais...
Back
Top Bottom