asha migiro

Asha-Rose Mtengeti Migiro (born 9 July 1956) is a Tanzanian politician and diplomat who was the Deputy Secretary-General of the United Nations from 2007 to 2012. She was appointed as the United Nations Secretary-General's Special Envoy for HIV/AIDS in Africa on 13 July 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    Asha Rose Migiro, Wamekuteua Kukutumia kwa Faida zao, Hilo genge limechafuka, Nchi imechafuka Duniani, Wape tu Sababu za Kiafya

    Mh Asharose Migiro, Mh Asharose Migiro Mh Asharose Migiro, nimekuita Mara tatu . Ni kweli wewe ni Timu JK ila stuka Mama!! Usikubali Kubebeshwa Mikoba inayoenda Kufuta Taswira yako Kimataifa, na Heshima yako Yooote uloipata Kimataifa kupotezwa na Siasa za CCM. Mama yangu, Sijui kama Umekaa na...
  2. S

    GE2025 Asha-Rose Mtengeti Migiro ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Achukua nafasi ya Balozi Nchimbi

    Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye ni Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.
Back
Top Bottom