anusurika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Cowiti anusurika kuuawa Tarime na genge la wauaji, wadhurumati, wafanya magendo wakishirikiana na baadhi ya maafisa, asota mahabusu

    Mnamo Tarehe 30 Desember 2022, Majira ya saa 6 usiku, maofisa wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa walifika katika Hotel ya PKM Tarime Mjini na kumkamata Ndugu Lameck Cowiti. Operation ambayo ilionekana ya siri maana walimdaka nje ya uzio kabla hajaingia hotelini. Alikuwa akitokea katika...
  2. JamiiForums Tanzania Billionaire Shillah anusurika kubakwa

    Hello Wadau!! Billionaire Shillah hivi karibuni amepost akishuhudia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii akimshukuru Mungu kuikimbia zinaa. Wana JF wenzangu nadhani mna la kujifunza.
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Masasi Mjini Geofrey Mwambe anusurika kifo akiwa na familia yake. Gari alilokuwa akisafiria lateketea kwa moto

    Mbunge wa jimbo la Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022. Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Chile anusurika kuondolewa madarakani

    Picha: Raiswa Chile Sebastian Pinera Baraza la senate la Chile limepinga mchakato ulioanzishwa na upinzani uliolenga kumuondoa madarakani Rais Sebastian Pinera. Upinzani ulitaka Pinera ang’olewe madarakani kufuatia sakata lililofichuliwa kwenye nyaraka za Pandora na pia kutokana na hatua yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…