ansbert ngurumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ansbert Ngurumo (Video): Mlipata wapi kura 32,000,000 za Samia?

    https://youtu.be/a3x3e1QFasQ?si=WxGatqMY68D7RZ8v Hili ni swali la Ansbert Gurumo kupitia Youtube Channel yake (SK Media Online TV) Na huyu hapa 👇🏻👇🏻ni mmoja wa watazamaji wake waliotoa maoni yake akijitambulusha kuwa yeye alikuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura huko Shintanga, Manispaa ya...
  2. U

    GE2025 Ansbert Ngurumo: Ilikuwa lazima tuue watu ili kuhalalisha Urais wa Samia? Maneno mawili tu yatatuliza hali sasa: Poleni na Tumekosea!

    https://youtu.be/XspoH80_PEY?si=lLo0g68b3JeBsIHs 1. Hivi kulikuwa na ulazima gani kuondoa uhai wa maelfu ya vijana ili kuhalalisha utawala na Urais wa Samia na CCM yake huku akiwa tayari ana ushindi wa 99% hata kabla kura hazijapigwa? 2. Vijana hawa walianza kuandamana kwa amani, wakishangalia...
  3. U

    GE2025 GE2025 Aftermath: Ansbert Ngurumo atoa way forward ya kuepusha maafa zaidi. Vijana wasikilizwe. Ataja sauti ambazo zikisikika, vijana watatulia

    https://youtu.be/w4PaC1WPzZ8?si=wfc9MTlpEQMULdIC Amesema haya: 1. Vijana ni lazima wasikilizwe na wasipuuzwe asilani kuanzia sasa 2. Ashangaa alichodhani hakiwezi kutokea Tanzania kimetokea, kwamba watu hususani vijana wanaweza kuandamana kuipinga serikali na utawala uliopo 3. Ameshauri way...
  4. R

    Ansbert Ngurumo: Chase the hyena first and come to warn the Hen about wandering into the Forest

    Nimepata part of you clip blaming Polepole for his past deeds. Kweli uko sahihi, tena sahihi sana! Kwangu mimi nalichukuia hivi: Kwa sasa tuna Simba mla watu ameingia kijijini anakula watu, mbuzi, ngombe, kondoo , kuku etc etc.....anything you can think of! Sasa Katokea mtu anasaidia kumtafuta...
  5. Ansbert Ngurumo: Ni wakati wa Chadema kukinukisha Sasa? Tujitafakari upya

    Nimepitia andiko la Ansbert Ngurumo; nami nimeamua kutia meno kuwa ni wakati wetu sasa wafuasi wa Chadema kuorganize maandamano na kukinukisha. Hili linatakiwa kufanyika Sasa na Wala si baadae. I beseech you Hon. John Heche, John Mnyika, Amani Golugwa et al, it is a time to act. Tafadhalini...
  6. R

    Yuko wapi Ansbert Ngurumo? Philosopher of our time

    Simsikii katika sakata zote almost a month now. Yuko wapi Ngurumo Ansbert. Busara zako zinahitajika sana kipindi hiki cha Polepole
  7. R

    Ansbert Ngurumo: Tusimshangae polepole, hii ndiyo CCM

    TUSIKILIZE ANALYSIS YA NGURUMO KUHUSU KUJIUZULU KWA POLEPOLE https://youtu.be/HK4ZQBXg6Xw
  8. Ansbert Ngurumo: CHADEMA Kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani

    Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.” Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…