Kwa mujibu wa ibara ya 50(1) ya Mkataba unaoanzisha Jumuiya ya Afrika Mashariki kila nchi mwanachama wa Jumuiya zinapaswa kuchagua wawakilishi tisa kwenda kuwa wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Kwa upande wa Tanzania utaratibu wa kuwapata wawakilishi hawa kwa kiasi kikubwa unafanana na...
Huyu mama ni balaa kwa Taifa akiwa ndani ya Ikulu Waliweka mpango kuwa silaha wakabidhiwe kundi kutoka nje ya Bara yaan Uganda na Zanzibar alafu watandikwe wote ambao wanapinga uchaguzi,
Pili mtu mzito toka TISS kwa jina ***** ameiambia tume ya Chande kwamba Anjela Kizigha akiwa ikulu Tarehe...
Mtu huyu ni fisadi na amelalamikiwa na majeshi yetu na kila mtanzania anajua lakini wewe tuliyekupa dhamana ya kupambana na ufisadi unaonekana kumpenda sana huyu mtu na unazunguka nae kila unapoenda, kana kwamba haitoshi umeamua kumteua ubunge ili umpe uwaziri aendelee kufanya ufisadi wake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.