Tayari Mfumo mpya wa Android 17 umeshaachiwa Toka Juzi Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayokwenye baadhi ya vifaa vya Android kama vile Google Pixel na baadhi ya simu ila sio zote.
Mfumo huo umekuja ukiwa na maboresho kadhaa kuanzia upande wa Muonekano (Themes &...