anc

The African National Congress (ANC) is a political party in South Africa. It originated as a liberation movement known for its opposition to apartheid and has governed the country since 1994, when the first post-apartheid election resulted in Nelson Mandela being elected as President of South Africa. Cyril Ramaphosa, the incumbent national President, has served as President of the ANC since 18 December 2017.
Founded on 8 January 1912 in Bloemfontein as the South African Native National Congress, the organisation was formed to advocate for the rights of black South Africans. When the National Party government came to power in 1948, the ANC's central purpose became to oppose the new government's policy of institutionalised apartheid. To this end, its methods and means of organisation shifted; its adoption of the techniques of mass politics, and the swelling of its membership, culminated in the Defiance Campaign of civil disobedience in 1952–53. The ANC was banned by the South African government between April 1960 – shortly after the Sharpeville massacre – and February 1990. During this period, despite periodic attempts to revive its domestic political underground, the ANC was forced into exile by increasing state repression, which saw many of its leaders imprisoned on Robben Island. Headquartered in Lusaka, Zambia, the exiled ANC dedicated much of its attention to a campaign of sabotage and guerrilla warfare against the apartheid state, carried out under its military wing, uMkhonto we Sizwe, which was founded in 1961 in partnership with the South African Communist Party (SACP). The ANC was condemned as a terrorist organisation by the governments of South Africa, the United States, and the United Kingdom. However, it positioned itself as a key player in the negotiations to end apartheid, which began in earnest after the ban was repealed in 1990.
In the post-apartheid era, the ANC continues to identify itself foremost as a liberation movement, although it is also a registered political party. Partly due to its Tripartite Alliance with the South African Communist Party (SACP) and the Congress of South African Trade Unions, it had retained a comfortable electoral majority at the national level and in most provinces, and has provided each of South Africa's five presidents since 1994. South Africa is considered a dominant-party state. However, the ANC's electoral majority has declined consistently since 2004, and in the 2021 local elections, its share of the national vote dropped below 50% for the first time ever. Over the last decade, the party has been embroiled in a number of controversies, particularly relating to widespread allegations of political corruption among its members. Following the 2024 general election, the ANC lost its majority in parliament for the first time in South Africa's democratic history. It still remains the largest party, with under 41% of the vote. The party also lost its majority in Kwa-Zulu Natal, Gauteng and Northern Cape.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania ANC maji ya shingo. Lumumba twendeni tukaokoe Chama rafiki

    Uchaguzi SA umekaribia ila Chama rafiki hali ni tete. Twendeni tukawadhibiti Vyama pinzani. Twendeni na masanduku ya kura tusaidie wapigania uhuru wa ANC kushinda kwa kishindo. RIP Chivayo.
  2. J

    JamiiForums Tanzania ANC, SWAPO, ZANU, FRELIMO, walichoma miundombinu nchini kwao. Je, walikuwa magaidi? Kwanini tuliwaunga mkono?

    Kichwa cha habari chahusika. ANC, PAC, SWAPO, ZANU, ZAPU, MPLA, FRELIMO, ni vyama vilivyojihusisha na mapambano ya silaha, ikiwemo kuharibu miundombinu. Je, kwa tafsiri ya ugaidi ambayo CCM wanaitumia itakuwa ni makosa kusema kwamba Tanzania ilifundisha, na kufadhili magaidi toka nchi za...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kinakwenda kuwa chama tawala kama ANC ya Afrika Kusini

    Kuna mwanga mkubwa umeanza kuonekana ndani ya Chadema, ndio maana wenye akili wameanza kurudi na walio ndani ya CCM wanaki-sapoti kwa siri. Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha siasa (Right-Center Party) ambacho msingi wake mkuu ni Watu, Upendo, Haki, Usawa na Amani. Nguvu ya...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapitia njia ya ANC ya Afrika Kusini, kiliwahi kuzuiwa kufanya siasa lakini ndicho chama tawala kwa sasa

    Mwaka 1960, ANC ilipigwa marufuku kufanya siasa nchini Afrika Kusini, viongozi wake kama Walter Sisulu na Nelson Mandela walikamatwa wengine wakakimbia nchi, Oliver Tambo akachukua jukumu la kukiongoza chama hicho akitokea Zambia. ANC iliendelea kufanya kazi katika mazingira magumu lkn...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali inataka kutumia mbinu ya 'Sharpeville Massacre" kuifuta CHADEMA kama serikali ya Makaburu ilivyoifuta ANC

    Credit to Hilda Newton (X) 1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sheria kandamizi na kuua watu 69 na kujeruhi 186. Serikali ya Makaburu ilidai kuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 ANC waisagia CCM, wasema walifika Tanzania lakini hawakuweza kufanya uangalizi wa Uchaguzi

    Soma barua yao:
  7. JamiiForums Tanzania Yametimia: Yote yaliyofanywa na Serikali ya Makabulu dhidi ya ANC Afrika Kusini, Yafanywa na Serikali ya CCM dhidi ya Chadema

    Afrika kusini, Serikali ya Makabulu ilimkamata Mandela na kumfungulia Kesi ya Uhaini hapa Tanzania Serikali ya CCM imemkamata Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na kumfungulia kesi ya Uhaini. Afrika kusini, Serikali ya Makabulu kupitia njia za kisheria walikifungia kufanya siasa Chama cha ANC...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania ilikuwa sahihi kuisadia ANC kuondokana na utawala wa makaburu Afrika Kusini? Tulifaidikaje?

    Kwa nini Tanzania tuliisaidia ANC kwa hali na mali kupambana na serikali ya makaburu Africa Kusini? Je Tanzania tulipoisaidia ANC dhidi ya utawala Makaburu tulikuwa sahihi kama nchi kuingilia mambo ya ndani ya nchi yao? Tulipata faida gani kama nchi kuisadia ANC kuwandoa makaburu walioleta...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kisa cha kesi za uhaini kwa Lissu na CHADEMA ni kama ANC na Mandela

    Miaka ya 1950+ hivi chama cha ANC kule Afrika Kusini chini ya Mandela kilianza kuonesha makali kwa serikali ya makaburu. Harakati za ANC za kudai uhuru wa watu weusi zilipamba moto mno kiasi cha makaburu kukosa usingizi. Makaburu wakawaza ni namna gani wafanye kudhibiti harakati za chama hicho...
  10. JamiiForums Tanzania Africa Kusini wasipoitoa ANC madarakani mapema itakuwa kama Haiti siku moja

    Majambazi na wezi wanakwida watu, wanawapukutisha hadharani na kufanya mauaji kiholela sana kama vile hakuna kitu kinaitwa police au magereza.
  11. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bapance of power, CHADEMA wajifunze kutoka kwa chama kikubwa kama ANC, La sivyo watapotea

    Power Balance , Kazi kubwa kwa CHADEMA ya sasa . Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama kikubwa cha pili kwa Tanzania ukiachana na CCM ambayo ni chama kikubwa na cha pili Afrika kwa utajiri wake ukiachana na ANC ya Afrika Kusini . Transformation iliyotokea kuanzia mwaka 2000 mpaka 2015 , yaani miaka...
  12. JamiiForums Tanzania Balance of power, CHADEMA wajifunze kutoka kwa chama kikubwa kama ANC la sivyo watapotea

    Power Balance, kazi kubwa kwa CHADEMA ya sasa. Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama kikubwa cha pili kwa Tanzania ukiachana na CCM ambayo ni chama kikubwa na cha pili Afrika kwa utajiri wake ukiachana na ANC ya Afrika Kusini. Transformation iliyotokea kuanzia mwaka 2000 mpaka 2015 , yaani miaka 15...
  13. JamiiForums Tanzania Global Powers zimekwisha baada ya vita baridi ? Usijidanganye, MK ya Jackob Zuma kwa udhamini wa Russia kidogo iiondoa ANC,

    Still dunia ina big brothers, Rutto alipokaribishwa meza kuu na NATO akasahau wachina wamewekeza mapesa mengi, na Russia inapigana na NATO.. Rais wa sasa wa South Africa ni pro western. Dola milioni kadhaa wanayumbisha nchi, Non Allignment is the way to go. Rutto pro western, Raila Pro...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya Umoja South Africa: Je Huu Ndiyo Mwanzo wa Mwisho wa ANC?

    Ni lazima imekuwa hivyo. ANC haina option zaidi ya hiyo (ANC/DA coalition). Na hii inatokana na Conditions walizo zitoa MK na EFF ambazo ni ngumu kwa ANC kuzitekeleza. In fact, the EFF has shown it's willingness to co-govern with the ANC but has demanded the deputy presidency position in...
  15. JamiiForums Tanzania Hatimaye ANC na DA kuunda Serikali ya Kitaifa Afrika Kusini

    Dalili za Chama Cha ANC kuunda serikali pamoja na DA zimethibitishwa rasmi. Ni pale ambapo kwenye uchaguzi wa Spika wa Bunge la SA DA haikuweka mgombea na hivyo Spika akatoka kwenye Chama Cha ANC akiitwa Thoko Didizo. Pia Chama Cha DA ambacho ndio Chama kikuu Cha upinzani SA kimeshindwa kiti...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Cyril Ramaphosa achaguliwa kuwa Rais kwa awamu ya pili

    https://www.youtube.com/live/PTbikZP3ljI?feature=shared ========= UPDATE: Mjumbe wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC), Cyril Ramaphosa, amechaguliwa tena na Wabunge kuwa Rais wa taifa hilo kwa awamu ya pili Licha ya ushindi huo, Ramaphosa anakwenda kuongoza Serikali iliyoundwa...
  17. JamiiForums Tanzania Bunge jipya la Afrika Kusini litakutana Ijumaa wakati vyama vinang'ang'ania kuunda Serikali ya mseto

    Bunge jipya la Afrika Kusini litakutana kwa mara ya kwanza siku ya Ijumaa, huku vyama vikijaribu kuunda serikali ya mseto baada ya uchaguzi wa hivi majuzi kutotoa mshindi wa moja kwa moja. "Kikao cha kwanza cha Bunge kitakuwa Ijumaa, 14 Juni 2024," aliandika Jaji Mkuu Raymond Zondo katika agizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…