Habari, jana nilisema nitesti kama nimeanza kupona tatizo langu (nguvu za kiume) , ila cha ajabu mashine ilikua ndogo sana imelegea na baada ya kuzama ndani nilidumu kama sekunde 10 pekee nikamwaga na hamu kuisha mara moja, nilijisikia vibaya sana nikamdanganya mwenza kua nmefanya sana hiyo...