anamringi macha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha: Samia Ardhi Kliniki itasaidia Wanawake wengi kumiliki ardhi

    Serikali kupitia Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanzisha Kliniki Maalumu ya Wanawake “Samia Ardhi Kliniki” hatua inayoweka mazingira rafiki kwa wanawake wengi kumiliki ardhi kisheria sambamba na kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi na maendeleo. Wanawake wa Mkoa wa...
  2. J

    Uchumi wa Simiyu umefikia shiling trilioni 3.5 ndani ya miaka minne

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, ameeleza kuwa hali ya uchumi ya mkoa imeendelea kuimarika ambapo Pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 2.5 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 3.5 mwaka 2024, sawa na ongezeko la asilimia 40%. Aidha, pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka...
  3. J

    GE2025 RC Anamringi Macha: Samia legal Aid yaokoa 177,000 Simiyu

    Akiongea na Wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, amesema kuwa kupitia kampeni ya Kitaifa ya Samia Legal Aid, wananchi 177,114 (wanaume 80,000 na wanawake 97,114) wamepata elimu ya msaada wa kisheria ili kuongeza uelewa wa haki zao na taratibu za kisheria. Vilevile, watoa...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga: Wanasiasa msiandae futari zenye asili ya rushwa kwa ajili ya Uchaguzi

    Wakuu, Wakati taifa linaeleka kenye Uchaguzi, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha amewaomba wanasiasa wasitumie fursa ya kuwafuturisha wananchi kama rushwa ya kwenye uchaguzi Soma pia: Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu "Niwaombe sana viongozi wa kisiasa...
Back
Top Bottom