anafaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 2019

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

    Umuhimu wa kitu kizuri huonekana baada ya kutoweka. Jiwe walilolikataa waashi lilikuwa jiwe kuu la pembeni. Hakuna nabii anaekubalika kwao. Mimi ni mmoja wa mtu aliemkosoa sana Magufuli, baada ya kufa nimegundua ukweli wa misemo hiyo hapo juu. Rais Samia alianza kwa kuwapa tumaini Watanzania...
  2. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mtu anayemchukia Hayati Magufuli anafaa kuwa Waziri Tanzania?

    Sitegemei unafiki iwe jadi iliyokomaa kiasi cha namna hii nchini Tanzania. Alivyoapishwa Samia Suluhu kwa kujua mapenzi na imani kubwa waliyokua nayo watanzania kwa Magufuli alisema baada ya kuapa kua rais wa tanzania kwamba yeye na magufuli ni kitu kimoja. Na amerudia kusema hivyo mara kadhaa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Jaji Eliezer Mbuki Feleshi anafaa kuwa AG

    Kutokana na kujiuzulu kwa aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Werema ni wazi sasa nafasi hiyo inabaki wazi. Kwa walio wadau wa tasnia hii ya sheria nadhani wataungana nami pasina shaka lolote kuwa kutokana na nafasi hiyo kuwa nyeti kwa ustawi wa Taifa lolote lile duniani, inahitaji...
Back
Top Bottom