amri kiemba

Amri Kiemba Ramadhan is a retired Tanzanian footballer who plays club football for Simba and international football Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Huu ndio wakati sahihi Karia kuachia uongozi TFF

    Mchezaji wa zamani wa timu za Yanga na Simba, Amri Kiemba, ameweka wazi maoni yake kuhusu uongozi wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, akieleza kuwa huu ndio wakati muafaka kwake kuachia ngazi ili kutoa nafasi kwa viongozi wapya kuendeleza mchezo huo...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Hakukuwa na sababu ya msingi iliyopelekea kuahirishwa kwa derby ya tarehe 8 March

    AMRI KIEMBA "Ukitumia kanuni kwenye sehemu ambayo ulitumia busara ndicho ambacho kinawachanganya Bodi ya Ligi hivi sasa Mimi nadhani Yanga wapo tayari kucheza na kumalizia Ligi kwa mechi zote 30 kama tu yale yote ambayo wanahisi haikuwa haki yatapatiwa ufumbuzi Kunawezekana kuna mengine...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba angalia gemu ya Coastal vs Azam sasa hiv uone kama kweli Azam wataweza kucheza na Simba hiyo February 24

    Azam hawajui hata wachezeje hapa Tanga vs Coastal union, sioni mipango yoyote ya wao kupata goli hapa, they are playing as if they have forced to play, hawa msije kusema Simba wamebebwa maana uwanja mzima namuona Fei na Nurdin t yule mmanga aliyetoka Singida Black stars. Butua butua nyingiiiii
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hata mkimtumia Amri Kiemba haiondoi ukweli kuwa jana mlipanga matokeo, shame on you

    Mechi imechezwa jana na mjadala ni kuhusu gemu ya jana, leo Kiemba anabadilisha mada eti hata Simba wana timu zao, timu gani imecheza na simba kukawa na mchekea? Kiemba ameibuka akidai Simba inaachiliwa na Azam? Kuna watu wajinga sana kwenye media zetu halafu wamepata platform ya kupiga porojo tu.
  5. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba wewe ni superstar hutakiwi kuishi Kigogo

    Kuna maeneo Dar es salaam ukiishi unajishushia heshima yako tu, Bora ukakae Kibaha au Bagamoyo ijulikane moja. Nani anapenda kukalia Kigogo, hakuna bali hali ngumu ya uchumi inalazimisha watu kuishi maeneo yasiyo na hadhi. Hakuna mtu makini anayekalia Kigogo au Mburahati Nimeshangaa sana...
  6. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Alichoandika Amri Kiemba kwa Msemaji wa Simba Ahmed Ali juu ya Lameck Lawi

    Mwanamichezo mstaafu na mchambuzi wa michezo Amri Kiemba ameandika maoni ambayo yamenifanya niwaze na kukaa chini kutafakari juu ya kauli na maneno ya msemaji ambayo kila siku yanazidi kushangaza na kumshushia tu Professional wake. AMRI KIEMBA ANAANDIKA: Kuna vitu unaweza kuviangalia halafu...
Back
Top Bottom