Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima, ametoa onyo kali kwa makundi au watu wenye nia ya kuanzisha fujo ama vurugu wakati wa kipindi cha uchaguzi Mkuu wa Tanzania, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vipo imara na makini kuhakikisha amani na utulivu vinaendelea kudumishwa nchini...
Wakuu
Mikakati ya Jeshi la Polisi na Amiri Mkuu wa Jeshi mmeielewa?
-------------
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, DCP David Misime, amesema jeshi hilo limejiandaa vizuri kuhakikisha katika mchakato mzima wa uchaguzi, linakuwa na mikakati thabiti ya kuhakikisha amani, utulivu na usalama...
Wakuu
Kila mtu atalinda kitu anachoona kina faida.
Watanzania endeleeni kulinda amani wakati ma-burgeoisie wataendelea kulinda malambogini na maferari ambavyo yamejazana kule Masaki.
========================
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mtwara SACP Issa Suleiman amewataka wananchi wa Mkoa wa...
Baadhi ya Viongozi wa Umoja wa Makanisa ya Kitume na Kinabii Tanzania, wakiongozwa na rais wa Umoja huo Nabii Dr. Joshua Aram Mwantyala wamehimiza amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Wameeleza kuwa, Wagombea watakaoshindwa kuchaguliwa na wananchi katika Uchaguzi huo, hawana...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa, amewataka Watanzania bila kujali itikadi za dini zao, kuheshimu na kudumisha amani na utulivu katika kuelekea kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, ili kulisaidia Taifa kubaki salama kabla...
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeonya watu wanaopanga au wanaotarajia kuvuruga amani wakati wa Uchaguzi Mkuu ujao, ikisisitiza kuwa vyombo vya dola vimejipanga kuhakikisha uchaguzi huo unafanyika katika mazingira ya amani na utulivu.
Akijibu swali bungeni leo Jumatano Mei...
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassan Kabeke, amesema kuwa kumeanza kutokea viashiria vya lugha mbaya zinazotoka kwa viongozi wa kisiasa nchini, ambazo zinaweza kusababisha amani ya nchi kupotea.
Sheikh Kabeke amesema hayo wakati wa mashindano ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.