Nashangaa sana na watanzania wanaosema wamemuachia Mungu atutetee.
Jamani, kweli Mungu anaweza kumtetea watu mwenye akili timamu, mikono miwili na miguu miwili, halafu wanakaa tu bila kufanya kitu?
Wengine wanajificha kwenye kivuli cha unyonge, lakini unyonge gani huo kama tuna akili na...