Wakati taifa likielekea katika uchaguzi mkuu, wa kuwachagua viongozi mbalimbali akiwemo Rais, Wabunge na Madiwani, Taasisi ya mwanamke na nguvu ya kijani nchini, imeandaa kongamano la viongozi wa dini, wafanyabiashara vijana na taasisi mbalimbali lengo likiwa kuhamasisha amani.
Akitoa taarifa...